Shilingi kushuka thamani na hali mbaya ya uchumi wetu: Sababu ni nini na nini kifanyike?

tangu lini wachumi waliwahi kusema forex ni moja cha kiashiria cha kukua ama kushuka kwa uchumi?
 
Ni dhahiri Watanzania waishio nje ya nchi wamekuwa na msaada mkubwa katika kustabilize thamani ya shilingi dhidi ya Dola.

Hii ni kutokana na kutokana na kiwango cha fedha za kigeni wanazotuma nchini kwa sababu mbalimbali ikiwemo kusaidia ndugu zao n.k
Mara nyingi fedha hizo zikitumwa, upande unaopokea hupewa shilingi zinazolingana na kiwango hicho cha dola ambazo diaspora hutuma,
Sasa ni wakati muafaka kwa serikali kuandaa utaratibu utakaowarahisishia Diaspora kuwa na Account za benki hapa Tanzania.

Hizo account Zinaweza kuwa za Dola au za Shilingi. Kama ni account za shilingi basi Diaspora akiingiza Dola zake kadhaa kutokea huko aliko basi anawekewa shilingi katika rate iliyo nzuri kabisa!

Hili linaweza kufanywa kama mchango tu wa Diaspora kwa nchi yao na si kwa ajili ya kupata faida kubwa.

Mathalani tuchukulie Diaspora 10000, kila mmoja atunze dola 1000, hizo ni dola 10,000,000/= si haba

Lakini pamoja na hayo, Ni vyema pia Diaspora nao tukasikiliza mahitaji yao, Uraia wa nchi mbili kwa zile nchi ambazo ni Strategic haukwepeki ( Siyo uraia wa nchi mbili wa Tanzania na Somalia), Hii ina faida kubwa kiuchumi, na tunaweza kuweka sheria kuwa Raia wa nchi mbili popote alipo lazima atulipe kodi!, Wamarekani wanafanya hivyo kwa raia wao popote alipo duniani!

Ni muda muafaka sasa serikali kujipanga, kuona inawatumiaje Diaspora vizuri
 
Uraia wa nchi Mbili haukwepeki kuinua uchumi

Kweli kabisa, hii mipaka ya sasa hivi ni symbolic zaidi kuliko reality!. Utaifa wa mtu haufi!
Hata huko Marekani Wayahudi wana Uraia wa nchi mbili- Israel na Marekani, na wao ndiyo engine ya kulipiga tafu taifa la Israel, kulitetea na kulipa msaada wa kifedha na kulobby kwenye siasa za marekani ili liwe vizuri!.
Tukiwa na raia wa nchi mbili tutakuwa na Wazalendo watakaolobby sera nzuri kwa ajili ya nchi zetu
 
Ni dhahiri Watanzania waishio nje ya nchi wamekuwa na msaada mkubwa katika kustabilize thamani ya shilingi dhidi ya Dola.
Hii ni kutokana na kutokana na kiwango cha fedha za kigeni wanazotuma nchini kwa sababu mbalimbali ikiwemo kusaidia ndugu zao n.k
Mara nyingi fedha hizo zikitumwa, upande unaopokea hupewa shilingi zinazolingana na kiwango hicho cha dola ambazo diaspora hutuma,
Sasa ni wakati muafaka kwa serikali kuandaa utaratibu utakaowarahisishia Diaspora kuwa na Account za benki hapa Tanzania. Hizo account Zinaweza kuwa za Dola au za Shilingi
Kama ni account za shilingi basi Diaspora akiingiza Dola zake kadhaa kutokea huko aliko basi anawekewa shilingi katika rate iliyo nzuri kabisa!
Hili linaweza kufanywa kama mchango tu wa Diaspora kwa nchi yao na si kwa ajili ya kupata faida kubwa.
Mathalani tuchukulie Diaspora 10000, kila mmoja atunze dola 1000, hizo ni dola 10000000/= si haba

Lakini pamoja na hayo, Ni vyema pia Diaspora nao tukasikiliza mahitaji yao, Uraia wa nchi mbili kwa zile nchi ambazo ni Strategic haukwepeki ( Siyo uraia wa nchi mbili wa Tanzania na Somalia), Hii ina faida kubwa kiuchumi, na tunaweza kuweka sheria kuwa Raia wa nchi mbili popote alipo lazima atulipe kodi!, Wamarekani wanafanya hivyo kwa raia wao popote alipo duniani!

Ni muda muafaka sasa serikali kujipanga, kuona inawatumiaje Diaspora vizuri
Hiyo co ahadi ya jiwe wakati wa kampeni ahadi zetu tunazijuwa na tunakwenda Nazi mbele kwa mbele.
 
Hiyo co ahadi ya jiwe wakati wa kampeni ahadi zetu tunazijuwa na tunakwenda Nazi mbele kwa mbele.
"Mimi sikuahidi hayo ma-uraia pacha katika kampeni zangu za uraisi. Niliahidi maendeleo. na maendeleo hayana chama. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu."
Dhana aliyonayo Mhe, kuhusu maendeleo, anaijua mwenyewe! Sidhani kama anaweza kuona uhusiano wa kuwa-treat diaspora kama Watanzania na maendeleo!
 
Nirriahidi Uzarendo na fryover.
 
Diaspora penyo mlilolikosa ni la Mr Membe na Rasimu ya Warioba.Kwa CCM hii ya wenye roho ya koroshow dual-citizenship mtaisikiaga kwa majirani tu.
 
Ili kuzalisha diaspora wenye tija tuboreshe elimu yetu. Nchi kama Philippines ina hazina kubwa ya diaspora wanaofanya kazi zenye katika nchi zilizoendelea.

Tusiende mbali Kenya na Uganda pia wana nguvu kazi kubwa ya raia wenye kazi za ujuzi katika nchi zilizoendelea. Uganda siasa za Iddi Amin na vita ya Kagera viliwasaidia kupata hifadhi katika nchi za Scandinavia, Uingereza hata Marekani.
 
Tusiende mbali Kenya
Inashangaza kidogo na kuwa ngumu kuamini,; lakini Kenya jamaa wanaingiza zaidi ya Billion mbili (>$ 2 Billion) last year (2018)!

Yaani mchango wao sasa katika pato la taifa lao ni nambari one. Chai haifui dafu, matunda na mboga mboga hazifikii, na wala sio utalii vinavyochangia kiasi hicho. Hiyo ni mashine nyingine kabisa!

Tanzania hata Benki Kuu kuweka kiasi kinachotokana na hao watu tu hayawahusu kabisa!
 
Tatizo la hii nchi kubwa kuliko wengi wa wale tunaodhani ni wakombozi wetu wanavyotaka kutuaminisha.

Ukiangalia graph yetu haijawahi kushuka toka 1980 inapandaga tu.

Wapuuzi wachache wanatumia haya kama mtaji wao wa kupigia domo majukwaani badala ya kushauri namna ya kifanya.mtu anahubiri democrasia akidai haipo,sijui ikirudi kama anavyodai itarudi na dollars!!!!
 
mtoa hoja ahsante na ingependeza kama ungeweka na graph ya Zambian Kwacha,nchi ambayo ni land locked,inategemea zaidi madini ya Shaba tu!!!!!
 
Back
Top Bottom