Shilingi bilioni 800 zayeyuka bandarini

Shilingi bilioni 800 zayeyuka bandarini

Thread muhimu kama hii haina wachangiaji kabisa,,, ila ingetajwa CCM au UKAWA ungeona watu misuri ya shingo itakayowavimba kumpigania NAPE, LOWASA, MBOWE NK... kweli WATANZANIA NDIO MTAJI WA WANASIASA,, 75% YA WATANZANIA NI CONDOM ZA WANASIASA ILI KUKIDHI MATUMBO YAO...

TUPAZE SAUTI KWENYE HAYA YA UNYONYAJI MPAKA MAPINDUZI YATOKEE,, BABA MWIZI TRA, MAMA MWIZI TPA, MTOTO MWIZI HAZINA,, YAANI NI FULL MATATIZO... hivi hizo hela mnafanyie nyinyi maana hatuoni hata mkifanya vya maana zaidi zaidi tunaona akina DANGOTE WAKIWEKEZA KWA KUJENGA VIWANDA KWENU,, hawa viongozi wetu au watu wizi wote huu wanaoufanya huishia kudhulumiwa tu na wahindi + waarabu... YAANI UMESOMA HALAFU UNAIBA?? SASA HIYO SHULE IMEKUSAIDIA NINI???? YAANI WATOTO WENU WANAKULA NA KUTANUA KWA WIZI WENU KWENYE MALI ZA UMMA.. NAWADHARAU SANA..

KISASI LAZIMA KILIPWE SIKU MOJA SIKUBALIANI KABISA NA KAULI ZA KUTOLIPA KISASI KWA HAWA WANYONYAJI,, TUNAHITAJI IFIKE MAHALI WAAIBIKE HAPA CHINI YA JUA,, TUTAFILISI KOO NA FAMILIA ZAO KWA UZEMBE WA NDUGU ZAO MAANA HATA KOO NA FAMILIA ZAO HUFURAHIA KISICHO HALALI!!! PUMBAVU SANA HAWA WATU....
 
Hiyo ndio ilikuwa sababu ya Kumtoa Mwakyembe ili waibe, mission accomplished
nilifikiri unakili kumbe bure kabisa. Mwakyembe ameondoka lini hapo wizarani? na huo wizi ni walini?
 
hata mimi nawashangaa wanaolalamika,

CC; Elli , MANI , BAK , Chakaza , tpaul

jamani hivi hii serikali SIKIVU ya CCM inatupeleka wapi? Yaani kila siku wao hawafanyi kazi nyingine zaidi ya kuiba fedha za umma? Ndugu zangu watanzania mnaokerwa na wizi huu usiokuwa na mwisho ni wakati sasa umefika tuachane na CCM, vinginevyo tutaendelea kulizwa hadi Yesu atakaporudi. Safari hii tujirudishie akilini zetu na tuache kuhongwa vizawadi uchwara (mbege, pilau, chumvi, kanga, kofia, nk)...tujiandikishe kwa wingi na tujitokeze kupiga kura kuiondoa madarakani hii serikali ya WAFU ambayo inamaliza rasilimali za taifa huku wananchi wakizidi kutopea kwenye lindi la umasikini. Tuache ushabiki uchwara wa vyama huku nchi yetu ikiteketezwa na mafisadi. Tafakari, chukua hatua!

maisha bora-masikini wa kutupwa.jpg panya road.jpg maisha bora-mbege.jpg View attachment 254727
 

Attachments

  • mbege ya moshi.jpg
    mbege ya moshi.jpg
    18.1 KB · Views: 60
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom