Wanajaribu kuupiga mwingi kama mama lakini hawawezi
Atanasa tu.Bashitterrrrrrr
GAZETI PENDWA LA KUCHAMBIA MAVI....๐ฅฐ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Sure thing!Under this one party Constitution, we can move no further.
Ni Gazeti la 'Maafisa Vipenyo' Wapuuzi na waliojawa na 'Unafiki' mtupu huku Sera yao Kuu ikiwa ni 'Kujipendeza' kwa Mshika Mpini Kikatiba, Kufanya 'Propaganda' na Kusifia hata vya Uwongo na visivyokuwepo au wezekana pia.
GAZETI PENDWA LA KUCHAMBIA MAVI....๐ฅฐ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Hili Takataka huwa mnalinunua kweli?Ni Gazeti la 'Maafisa Vipenyo' Wapuuzi na waliojawa na 'Unafiki' mtupu huku Sera yao Kuu ikiwa ni 'Kujipendeza' kwa Mshika Mpini Kikatiba, Kufanya 'Propaganda' na Kusifia hata vya Uwongo na visivyokuwepo au wezekana pia.
Waratibu Wakuu Mmoja alikuwa Ikulu sasa yuko Maelezo na Mmoja alikuwa Maelezo ila sasa kabakia tu Wizarani wakisaidiwa kwa ukaribu sana na Watu wa MATAGA ambao Awamu hii ya Mama hawana chao tena.
Mfumo wetu mbovu umetupumbaza sana, ndiyo maendeleo kwetu ni hisani ya mtawalaKosa hapa ni nchi yetu kuwa na Marasilimali meengi kiasi kwamba mtu akiiba haituumizi kichwa wala haitusumbui kihiivyo,
Najiuliza, Tungekuwa ka nchi kasiko na Rasilimali nyingi, tungemvumilia mtu anayefuja mali zetu kweli?....
IQ yangu hairuhusu Kusoma Gazeti la Kipumbavu na la Kinafiki kama hilo tafadhali sawa?Hili Takataka huwa mnalinunua kweli?
Tatizo sio wingi wa rasilimali maana bado hazijatusaidia sana maana nchi bado ni maskini.tatizo ni nchi kukosa katiba inayowapa wananchi mamlaka moja kwa moja na ilo linaminya taasisi zakiserikali nguvu yakutenda kwa niaba ya wananchi ata kama ziko kisheria badala yake zinaangalia rais anatakaje.Ndo maana wenye hoja ya katiba mpya wana taka uwepo wa katiba bora itakayorudisha mamlaka kwa wananchi kwakutengeneza mifumo itakayozifanya taasisi na vyombo vya serikali kuwajibika kwa wananchi.Kosa hapa ni nchi yetu kuwa na Marasilimali meengi kiasi kwamba mtu akiiba haituumizi kichwa wala haitusumbui kihiivyo,
Najiuliza, Tungekuwa ka nchi kasiko na Rasilimali nyingi, tungemvumilia mtu anayefuja mali zetu kweli?
Tungelikuwa tunawagawana ju kwa ju
Jiulize,
Kuna viongozi wetu wameingia tu madarakani, wametoka na utajiri mkubwa ambao hata ungemilikiwa na watu M.1+ wasingelikuwa masikini miaka yao yote
Halafu sisi tunapiga makofi na kuwaita eti, ni mwamba, wajanja wa mjini,
Umeupiga mwingi mkuuTatizo sio wingi wa rasilimali maana bado hazijatusaidia sana maana nchi bado ni maskini.tatizo ni nchi kukosa katiba inayowapa
SIO KWL JAMAA MWANGA KICHIZI..!Atanasa tu.
Uchawi una kikomo na ukifanya hivi wenzako wanafanya vileSIO KWL JAMAA MWANGA KICHIZI..!
Hii ilipigwa siku ile meko ameng'ata shuka kesho yake mzigo ukahamishwa