2hery
JF-Expert Member
- May 27, 2011
- 4,700
- 4,617
Angalia mkuu ulivyokula "visitokee sehemu zozote zilizo wazi"( In baba j voice)Kipindi pendwa cha baba j ujue
Angalia mkuu ulivyokula "visitokee sehemu zozote zilizo wazi"( In baba j voice)Kipindi pendwa cha baba j ujue
Wewe nae usimshirikishe Mungu kusapoti ujinga wakoNinapingana na hayo maredio na matv kwa sababu nikifanya tathmini sioni mchango chanya wa vipindi vingi vinavyorushwa kwenye jamii!
Kipindi chenyewe kinaitwa shilawadu, eti "shirika la wambea duniani"!
Mwanaume rijali kabisa na heshima zake anakaa kusikiliza umbea?
Tunajenga jamii ya aina gani?
Ieleweke, katika Ukristo imeshasemwa, Wambea na wamajungu hawataurithi ufalme wa mbingu. Ni dhambi kama nyingine - hakuna dhambi inayojenga jamii!
Kazi ni kwako!
LoRd JeSuS ChRiSt - The Creator Of All.
yule dada sijui ndio anaitwa hawa aliyeimba na diamond kanitoa machozi masikini.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Kwa kifupi huu sio ustaarabu ni upuuzi wa kutafuta kiki za kipumbavu unaofanywa na haya mabwabwa yanayomumunya ubuyuIla kuonesha nguo ya mtu ya ndani haikuwa fair tena anainyanyua afu anasema cjui haijaoshwa afu nimeshika....khaaaa
Wamekutuma uwasafishe. Shilawadu ni upuuzi unaofanywa na wapuuzi kwa kutumia ujinga wa watanzaniaLinex nae tatizo unaishije gest hadi gharama kufikia milioni moja na ushee. Zama hizi nani atakukubalia ule, unywe na ulale hadi ifikie hiyo gharama? Binafsi nawapongeza kwa kumuibua Hawa ili asaidike na ajisaidie pia. Ilinigusa mno. Big up shilawadu kwa kuisaidia, kuelimisha, na kuburudisha jamii
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Mwanaume unakaaje na kuanza kusikiliza shilawadu?
Sudi na huyo mbea mwezio wa kiume mmefikia hatua mbaya ya kushindwa kutunza heshima za watu.
Kipindi chenu cha tar 14th/07/2017 hakikuwa cha kistaarabu pale ambapo mlifika KIBONA HOTEL na kuanza kuonyesha hadi mavazi ya ndani za mwanamuziki LINEX kisa kashindwa kulipia bili na kuacha mali zake hapo. Hicho ni kitendo kibaya na sio cha kiubinaadamu.
Hata hivyo kudaiwa ni jambo la kawaida kwani hata serikali inadaiwa na jamaa kaeleza hali hiyo ilijitokeza kutokana na hali ya kujifungua ya mkewe.
My take kwenu Sudi na Kwisa fanyeni kazi lakini tambueni mipaka yenu msikiuke haki za binadamu. Ipo siku mtamfanyia muelewa hatowaacha salama.
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
wawaulize kina joti na kipengele chao cha umefulia, au kile walichokuwa wana act wagonja mf. mremaSudi na huyo mbea mwezio wa kiume mmefikia hatua mbaya ya kushindwa kutunza heshima za watu.
Kipindi chenu cha tar 14th/07/2017 hakikuwa cha kistaarabu pale ambapo mlifika KIBONA HOTEL na kuanza kuonyesha hadi mavazi ya ndani za mwanamuziki LINEX kisa kashindwa kulipia bili na kuacha mali zake hapo. Hicho ni kitendo kibaya na sio cha kiubinaadamu.
Hata hivyo kudaiwa ni jambo la kawaida kwani hata serikali inadaiwa na jamaa kaeleza hali hiyo ilijitokeza kutokana na hali ya kujifungua ya mkewe.
My take kwenu Sudi na Kwisa fanyeni kazi lakini tambueni mipaka yenu msikiuke haki za binadamu. Ipo siku mtamfanyia muelewa hatowaacha salama.
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Ujinga wangu ni upi?Wewe nae usimshirikishe Mungu kusapoti ujinga wako
Kama huelewi hoja ya msingi funga domo lako hilo
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Uhanaume!! Ndio nn hiyo?Yataisha ndo uhanaume huo
Mkuu kule kwenye "sports" huonekani kabisa au unasubir kampeniJini mkata kamba
Umbeya ni uzushi au tukio la ukweli au si la kweli.Ni kusema ukweli ILA tatizo ni kwamba hujaruhusiwa!!!!!!!
Sent from my Startimes Nova N5 using JamiiForums mobile app