Shilawadu hapa mlipofikia ni too much

Ni kusema ukweli ILA tatizo ni kwamba hujaruhusiwa!!!!!!!

Sent from my Startimes Nova N5 using JamiiForums mobile app
Umbeya ni uzushi au tukio la ukweli au si la kweli.
Jamii sasa imebadilika sana. Angalia miziki yetu ya bongo fleva now. Imebadilika kwahiyo km ni kuonyesha boxer ni makosa. Leo usingeona boxer au chupi zinauzwa mitaani hata kwenye minada.
Hicho ni kipindi cha wakubwa. Km kuna mtoto wako huwa anaangalia. Chapa fimbo akalale
 
Huyo linex ndio mpumbavu tuu kwanini anapenda mambo ambayo hana uwezo nayo?
 
Amwambie zitto amlipie, halafu huyo linex kama hana fedha ya lodge si akae tu guest za elfu 5 au 10?
 
Kipindi cha umbea kinafuatiliwa na wambea.
2.Linex aache kuimba nyimbo za misiba na kulialia,hivi unawezaje kumpa linex show ya club ilhali nyimbo zako zote ni za kulalamika na majonzi,
 
hawa jamaa kweli wamekosea kuanika aibu za jamaa hadharani lakini Linex kama alijua michongo ya pesa haisomi kwanini akachukue chumba akae muda mrefu
 
Mwanaume unakaaje na kuanza kusikiliza shilawadu?
Kwa mwanaume wa Dar mbona hiyo kawaida sana! ikiwa dume zima linasikilizaga taarab na anajua kila wimbo wa taarab, dume linapaka poda, lipstick,wave, dume linaoshwa miguu na wanaume wenzake, dume linapakatwa na kidume mwenzie!
 
C arud kwao kasulu uku.... Lodge nzuuur bei cheee

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Umbeya ni uzushi au tukio la ukweli au si la kweli.
Jamii sasa imebadilika sana. Angalia miziki yetu ya bongo fleva now. Imebadilika kwahiyo km ni kuonyesha boxer ni makosa. Leo usingeona boxer au chupi zinauzwa mitaani hata kwenye minada.
Hicho ni kipindi cha wakubwa. Km kuna mtoto wako huwa anaangalia. Chapa fimbo akalale
Mkuu bado ukweli utabaki haki za binadamu zinakiukwa,wanaozikiuka hawajui kama wanazikiuka na waathirika hawajui kama haki zao zinakiukwa maneno mengine ni porojo tu

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Wasema ww.
ww umechukua hatua gani?
 
hawa jamaa kweli wamekosea kuanika aibu za jamaa hadharani lakini Linex kama alijua michongo ya pesa haisomi kwanini akachukue chumba akae muda mrefu

Hakuna mtoto mjinga kama huyu Linex mkuu, acha aibu impate tu kachezea sana nafasi, Kumuonea huruma kibinadam inatakiwa lkn ni wa ovyo sana miaka yote kwenye game akirudi kasulu anafikia Guest na kushinda bar, na bado asipo kubali kupambana na hali yake mtasikia mengi tu anadaiwa kila kona huyo
 
Huyo linex ndio mpumbavu tuu kwanini anapenda mambo ambayo hana uwezo nayo?

Sio mpumbavu ni zaidi ya Mpumbavu kaendekeza starehe sana, Kasulu kwao hakuna chochote alicho fanya na kuna viwanja mpaka vya milioni lkn hana ata kimoja, Madeni sasa ni noma kila kona

Wacha wamfunue tu ndio maisha aliyo yataka Linenga Mjeda
 
Ninapingana na hayo maredio na matv kwa sababu nikifanya tathmini sioni mchango chanya wa vipindi vingi vinavyorushwa kwenye jamii!

Kipindi chenyewe kinaitwa shilawadu, eti "shirika la wambea duniani"!

Mwanaume rijali kabisa na heshima zake anakaa kusikiliza umbea?

Tunajenga jamii ya aina gani?

Ieleweke, katika Ukristo imeshasemwa, Wambea na wamajungu hawataurithi ufalme wa mbingu. Ni dhambi kama nyingine - hakuna dhambi inayojenga jamii!

Kazi ni kwako!

LoRd JeSuS ChRiSt - The Creator Of All.
Hata hapa hukutakiwa kuwepo

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wamekutuma uwasafishe. Shilawadu ni upuuzi unaofanywa na wapuuzi kwa kutumia ujinga wa watanzania

Katika ulimwengu wa wastaarabu huu uharo wa kiume hauwezi kukubalika. Hakika nawaambieni hatma yenu haiko mbali sana. Ikiwezekana anzeni kutafuta cha kufanya kabla mambo hayajaharibika

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Segerea inatuitaaaa.....!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
39 Reactions
Reply
Back
Top Bottom