Shilawadu hapa mlipofikia ni too much

Mkuu Linex kaeleza kuwa pesa alizotumiwa kaenda kumhudumia mkewe aliyejifungua na dj Khaleed kathibitisha hilo na Linex hakukataa kuwa anadaiwa

Sheria ipi inayowaruhusu kina Kwisa kuingia hadi chumbani ampapo jamaaa ameacha mavazi yake na vitu vingine kama passport na boxer. Hata tu mwenye hotel hiyo achunguze athari zitakazotokana na tukio hilo kwani inaonyesha wahudumu wake ni watu wasiofahamu maadili ya kazi yao na watamfukuzia wateja

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
hao wenye hotel na hao sijui ndo shilawadu wote ni wasenge mia mbili.jambo walilolifanya aswa ni kumuaibisha jamaa we mtu utawezaje kuchezea boxer za mwanaume mwenzio.

lazima tulipe kodi
 
Shilwadu haijawahi acha mtu salama kondomu ohh samahan nisaidieni kulifuta hilo neno linlofuata baada ya salama limejipost

Post sent using JamiiForums mobile app
 
032028af70e9d5280be8ce39e679adfc.jpg

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Sudi na huyo mbea mwezio wa kiume mmefikia hatua mbaya ya kushindwa kutunza heshima za watu.

Kipindi chenu cha tar 14th/07/2017 hakikuwa cha kistaarabu pale ambapo mlifika KIBONA HOTEL na kuanza kuonyesha hadi mavazi ya ndani za mwanamuziki LINEX kisa kashindwa kulipia bili na kuacha mali zake hapo. Hicho ni kitendo kibaya na sio cha kiubinaadamu.

Hata hivyo kudaiwa ni jambo la kawaida kwani hata serikali inadaiwa na jamaa kaeleza hali hiyo ilijitokeza kutokana na hali ya kujifungua ya mkewe.

My take kwenu Sudi na Kwisa fanyeni kazi lakini tambueni mipaka yenu msikiuke haki za binadamu. Ipo siku mtamfanyia muelewa hatowaacha salama.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Umenikumbusha Joti alipata kipondo cha uhakika baada ya kumuekti naniliu kuwa ' amefulia'
 
Umenikumbusha Joti alipata kipondo cha uhakika baada ya kumuekti naniliu kuwa ' amefulia'
Hakika hawa wamumunya ubuyu mijinaume mizima inahitaji kutafuta mbinu nyingine na ya kistaarabu kuendesha kipindi chao hicho vinginevyo lazima tu wataangukia pua

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo kuudhalilisha utu wa huyo msanii kunabadilisha nini?
Waliofukuzwa watarudishwa kazini au hao shilawadu watamlipia kodi huyo mhudumu au?!

Hao wafanyakazi wangekuwa wanafahamu haki zao wasingefukuzwa kazi nahisi hata mikataba ya ajira hizo hawana na hawajui kama wanatakiwa kuwa nazo

Hoja hapa ni udhalilishaji sio huo upuuzi unaouzungumza wewe

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Sasa linex siungekaa tu ngoleme guest house kwann kujitia gharama ona sasa unafedheeshwa
 
Shilawadu wanatusuuza akili baada ya pilikapilika za wiki nzma hakuna aliyelazmishwa kuwaangalia, mm bnafsi nkikosa shilawadu nahs kuugua,.
Mltaka wafanye kaz gan, c ndio ubunifu wao huooo? Waachen wafanye kaz yao au mlitaka wawe vbaka au mashoga?

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Sudi na huyo mbea mwezio wa kiume mmefikia hatua mbaya ya kushindwa kutunza heshima za watu.

Kipindi chenu cha tar 14th/07/2017 hakikuwa cha kistaarabu pale ambapo mlifika KIBONA HOTEL na kuanza kuonyesha hadi mavazi ya ndani za mwanamuziki LINEX kisa kashindwa kulipia bili na kuacha mali zake hapo. Hicho ni kitendo kibaya na sio cha kiubinaadamu.

Hata hivyo kudaiwa ni jambo la kawaida kwani hata serikali inadaiwa na jamaa kaeleza hali hiyo ilijitokeza kutokana na hali ya kujifungua ya mkewe.

My take kwenu Sudi na Kwisa fanyeni kazi lakini tambueni mipaka yenu msikiuke haki za binadamu. Ipo siku mtamfanyia muelewa hatowaacha salama.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Sawa lakini huyo jamaa naye ajitazame.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom