Yaan whatsapp fulu majanga........me kuna kijama kiliniletea swaga za kunitongoza sasa nilipomkatalia fulu kuweka picha za mademu looooh kaz ipo kweli na hiyo mambo
hahaha me juzi nlikuja na uzi wa kuomba how kurekebisha hiyo last seen.. Unajisetia zako last seen at 7am.. Kumbe kutwa unachat!au hata kama huchat unaangalia profile za watu na status zao..lol!
Me nlkuwa naboreka yani unasoma msg tuu tayar mtu kakuona kakuwahi hi!!!
Kuna siku nlisahau kutoka nkasinzia huku npo on watsap!!!! Lol kila mtu yupo hulali!! Kumbe wala maskin!
So mkuu go to that thread kuna wakuu wameelezea jinsi ya kusolve hili tatizo.
Sina hata time nae zaid yakumuona mshamba.....kipnd chote huwek pic,umetolewa baluu ss ndo fulu kuweka picha.Ndan ya dk 2 picha 5 zimewekwa km sio ushamba nn???
Sio kila anayeonekana Online kwenye Whatsap yuko interested kuchat..
Hata kaa ni mpenzi wako...Yaani hamna kitu nalaani kwenye Whatsap kama hii kitu inaitwa 'Last Seen at'
Imekaa kimbea kweli,sometimesmtu umeboreka,haukokwenye mood ya mahaba,ila ukionekana uko online na hujamtumia SMS laaziz eti anawaka,''anhaaa unachat na mahawara zako eeh,uko online hata hunitext''
Kwani kuwa online lazima nikutext??Sina watu wengine wa kuchat nao hadi na wewe uwemo??
Mbona mapenzi yanakuwa magumu hivi jamani??
Nikikutana na owner wa Whatsap,sijui anaitwa Jimmy Balsamik ntamwambia atoe hii icon ya kimbea,inavunja sana ndoa..
Last seen my foot...Mtu unaaga sa4 umelala unaonekana last seen sa9 usiku,sikia hilo zogo lake,kumbe maskini ulishtuka kwenda kukojoa ukasoma msg ukalala,utajieleza kama katibu wa CUF na hutaeleweka...
Shkamoo Whatsap!
mm ilinishinda hii kitu aisee maana ilikuwa kama dozi upo wapi home? unafanya nini? nimelala okey nitumie picha basi ??
upo wapi job unafanya nn kuna kazi nafanya oo nitumie picha basi??
mara nipo nakura nitumie picha bana heeeeeee jamani kwani nimekuwa kamera mani??
eehhhh jamani marudio marudio...khaaaa....
Haya ahsante kwa ujumbe.