Shikamooo whatsapp ...!!

Mitandao ya kijamii!!! niyakutumia kwa umakini!!!,,kuna mda unaweza ukatamani kutumi nokia katochi uachane na smartphone hizi!!!!
 
Yaan whatsapp fulu majanga........me kuna kijama kiliniletea swaga za kunitongoza sasa nilipomkatalia fulu kuweka picha za mademu looooh kaz ipo kweli na hiyo mambo

Ha haa dada inaonekana hukukataa kwa roho moja mana picha za mademu wake zinakurusha roho polee!!
 
hahaha me juzi nlikuja na uzi wa kuomba how kurekebisha hiyo last seen.. Unajisetia zako last seen at 7am.. Kumbe kutwa unachat!au hata kama huchat unaangalia profile za watu na status zao..lol!
Me nlkuwa naboreka yani unasoma msg tuu tayar mtu kakuona kakuwahi hi!!!
Kuna siku nlisahau kutoka nkasinzia huku npo on watsap!!!! Lol kila mtu yupo hulali!! Kumbe wala maskin!
So mkuu go to that thread kuna wakuu wameelezea jinsi ya kusolve hili tatizo.

Naitaka hiyo mana sioni raha ya kuingia whatsap
 
Sio kila anayeonekana Online kwenye Whatsap yuko interested kuchat..

Hata kaa ni mpenzi wako...Yaani hamna kitu nalaani kwenye Whatsap kama hii kitu inaitwa 'Last Seen at'
Imekaa kimbea kweli,sometimesmtu umeboreka,haukokwenye mood ya mahaba,ila ukionekana uko online na hujamtumia SMS laaziz eti anawaka,''anhaaa unachat na mahawara zako eeh,uko online hata hunitext''
Kwani kuwa online lazima nikutext??Sina watu wengine wa kuchat nao hadi na wewe uwemo??

Mbona mapenzi yanakuwa magumu hivi jamani??
Nikikutana na owner wa Whatsap,sijui anaitwa Jimmy Balsamik ntamwambia atoe hii icon ya kimbea,inavunja sana ndoa..

Last seen my foot...Mtu unaaga sa4 umelala unaonekana last seen sa9 usiku,sikia hilo zogo lake,kumbe maskini ulishtuka kwenda kukojoa ukasoma msg ukalala,utajieleza kama katibu wa CUF na hutaeleweka...

Shkamoo Whatsap!

Cha mno nini ndugu yangu, kwani whatapp ni maisha???? Jiondoeeeeeeeee....... Dah mie niliona ntakufa siku sio zangu nikajiondoa asubuhi.....

CC PakaJimmy
 
Last edited by a moderator:
Sio kila anayeonekana Online kwenye Whatsap yuko interested kuchat..Hata kaa ni mpenzi wako...Yaani hamna kitu nalaani kwenye Whatsap kama hii kitu inaitwa 'Last Seen at'
Imekaa kimbea kweli,sometimes mtu umeboreka,hauko kwenye mood ya mahaba,ila ukionekana uko online na hujamtumia SMS laaziz eti anawaka,''anhaaa unachat na mahawara zako eeh,uko online hata hunitext''
Kwani kuwa online lazima nikutext??Sina watu wengine wa kuchat nao hadi na wewe uwemo??Mbona mapenzi yanakuwa magumu hivi jamani??
Nikikutana na owner wa Whatsap,sijui anaitwa Jimmy Balsamik ntamwambia atoe hii icon ya kimbea,inavunja sana ndoa..
Last seen my foot...Mtu unaaga sa4 umelala unaonekana last seen sa9 usiku,sikia hilo zogo lake,kumbe maskini ulishtuka kwenda kukojoa ukasoma msg ukalala,utajieleza kama katibu wa CUF na hutaeleweka.Shkamoo Whatsap!
 
whatsapp-last-seen-joke.png
 
Tengeneza Whatsapp ya kwako...ukishindwa rudi kwenye matumizi ya barua kwa njia ya Posta.
 
mm ilinishinda hii kitu aisee maana ilikuwa kama dozi upo wapi home? unafanya nini? nimelala okey nitumie picha basi ??
upo wapi job unafanya nn kuna kazi nafanya oo nitumie picha basi??
mara nipo nakura nitumie picha bana heeeeeee jamani kwani nimekuwa kamera mani??
 
thread ya kwanza (zamani kidogo) umeanza na shikamoo whatsapp hii imeishia na shikamoo whatsapp. duuu nina kumbukumbu
 
mm ilinishinda hii kitu aisee maana ilikuwa kama dozi upo wapi home? unafanya nini? nimelala okey nitumie picha basi ??
upo wapi job unafanya nn kuna kazi nafanya oo nitumie picha basi??
mara nipo nakura nitumie picha bana heeeeeee jamani kwani nimekuwa kamera mani??

Inakera sana iyo kitu. Mbona hujibu. Upo wapi nyingi sana.
 
Bila whatsapp tungeonaje papuchi,hujui siku hizi unaangalia kwanza halafu unaendelea kama upo interested
 
Whatsup kwa sie madalali wa kidongo chekundu hauna shida unapiga picha unamtumia mtu nyaminywili akipenda gari/kiwanja/nyumba anadondoka town mnafanya mihamala mnapiga karata anaenda kuwekeza baa sawa anaweka bank sawaaa life goes on.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom