Shikamoo mwanamke!!

Shikamoo mwanamke!!

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741
Shikamoo Mwanamke.jpg
 
majukumu ya mwanamke wa ndoa wa kizaz hiki " kupandwa,kubeba mimba, kuzaa, kukupa umbeya mume wake , makelele na kulaumu kila cku kwenye ndoa"
 
Hyo ni zamani sio sasa. Sasa hivi wamebaki wachache sana. Kuna yule juzi tu kasema she's too lazy to be housewife
 
majukumu ya mwanamke wa ndoa wa kizaz hiki " kupandwa,kubeba mimba, kuzaa, kukupa umbeya mume wake , makelele na kulaumu kila cku kwenye ndoa"

Hahahah dah ukweli mtu hasa hapo kwenye kulaumu na makelele ni hatar sanaa
 
Uyo n mwanamke wa kijijini ambae kaishia class 7 au kidato cha kwanza kwa kukosa ada.....hiyo haiendan na mwanamke wa mjini kabisa
 
Yeah, kuna wamama wanajitoa sana kwa familia zao, nawapa hongera,

ila mbona mna generalize kwa wanawake wote? wanawake wote hawapo hivi, wengine wanapanga foleni mabwana kazi hawataki, wamekaaa kuomba hela tu ,

kuna wanawake nawaheshimu sana wengine nawaona ovyo sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom