Shikamoo Kipanya

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Hii ndio nchi ya viwonder
578f2af88b7c9dbc0c3e876ae2e2490d.jpg
 
Lakini kosa la Honi za hovyo hovyo lipo Nchi nyingi sana hata Zambia, Malawi, South Africa, Ulaya , China, Marekani ukipiga honi hovyo hovyo unakutana na moto wa faini, Tanzania walichelewa kuileta hii
Ina maana hiyo sheria ndiyo imeanzishwa jana au ilikuwepo kitambo?
 
Lakini kosa la Honi za hovyo hovyo lipo Nchi nyingi sana hata Zambia, Malawi, South Africa, Ulaya , China, Marekani ukipiga honi hovyo hovyo unakutana na moto wa faini, Tanzania walichelewa kuileta hii
weka kifungu, usijisemee.....
Do not make unnecessary noise. Excessive noise is distracting and tiring. If you are driving a vehicle remember that the horn is for use only in an emergency.. The highway code???????
 
Tena ni tabia mbaya sana kupigapiga maoni bila sababu ni ishara ya watu kutokua waatarabu unaeza kuta taa imewaka hta sekunde bdo hizo honi sasa kwakwli wakomeshe kabisa tabia hii.Nchi nyingine hukuti watu wamekosa ustarabu namna hii
 
Kuna sehemu maalum ambazo huruhusiwi kupiga honi na kuna alama kabisa
Husipindishe maneno, kipanya kasema "honi imepigwa bila sababu za msingi", na sio kwamba "honi imepigwa sehemu hisiyotakiwa" Hapo kuna vitu viwili tofauti kabisa.
 
Back
Top Bottom