Shikamoo kilimo

Shikamoo kilimo

H
Kuna ule uzi ulileta mwanzo, wadau wakakuuliza umelima wapi ? Ni zao gani unapanga kulima? Ili ushauriwe humu ndani kuna wazoefu wa kila nyanja,,,, ukakaza fuvu hata hukujibu,,,, kula chuma hicho, next time toa taarifa inayoeleweka ili watu wajue pa kukushauri !
ata hapa kwenyewe sijaona mahala popote aseme hilo aina ya zao alilopanda zaidi ya kutaja million 10 tu,anafkiri kilimo ni kwa vijana mpeche mpeche ni shughi ya wanaume hiyo tena aliyeenda jando.
 
Nilitenga milioni kumi. Ndiyo 10m!.
Nikaingia porini. Niliweka watu wakasafisha pori. Hiyo ilikua December last year.
Ila kila nikikaa machale yananicheza.
Page pendwa yangu ikawa tma.
Yes bila hiyana nikasoma kua mvua zitanyesha chini ya wastani.
Refer hapa.
Basi nikajipa moyo. Nikaendelea na process za kulima na kisha ilinyesha mvua kidogo. Tukazika mbegu shamba lote.
Ekari 30.
Tuliweka camp nikiambatana na wafanyakazi wangu wa mkataba wa 3.
Vibarua hawakukauka shambani kwangu.
Kwakweli kazi ilifanyika kwa ustadi wote.
Sikutaka kurudi mjini mpaka nione hatima ya pesa yangu ninayoizika siku hadi siku.
Huku nikipewa matumaini na wakulima wenzangu kua mvua ziko karibuni.
Siku zinakatika jua linazidi kudhoofisha mimea yangu.
Inasikitisha sana kushuhudia mimea inanifia machoni mwangu.
Nimekata tamaa.
Inasikitisha sana.
Kaza moyo kilimo kigumu
 
Niliona nakumbuka lakini siku kufuatilia kama ulikuwa na MILION kumi ulitakiwa uchimbe kisima Chako na ununue pampu ya solar kipindi hiki Cha jua inafanya kazi vyema sana Kisha mipira ya kazaa ya kusambazA maji katika Eka 5 tu asee ungepiga mazao hiyo tulishaacha kipindi Cha nyuma huko jitahidi kishirikiana na watu
kwa mkoa gani milioni kumi inafanya hayo yote? nilivoona kichwa cha uzi nilicheka kabla hata sijafungua nikajua kuna mtu kapigwa na kitu kizito😀
 
Nilitenga milioni kumi. Ndiyo 10m!.
Nikaingia porini. Niliweka watu wakasafisha pori. Hiyo ilikua December last year.
Ila kila nikikaa machale yananicheza.
Page pendwa yangu ikawa tma.
Yes bila hiyana nikasoma kua mvua zitanyesha chini ya wastani.
Refer hapa.
Basi nikajipa moyo. Nikaendelea na process za kulima na kisha ilinyesha mvua kidogo. Tukazika mbegu shamba lote.
Ekari 30.
Tuliweka camp nikiambatana na wafanyakazi wangu wa mkataba wa 3.
Vibarua hawakukauka shambani kwangu.
Kwakweli kazi ilifanyika kwa ustadi wote.
Sikutaka kurudi mjini mpaka nione hatima ya pesa yangu ninayoizika siku hadi siku.
Huku nikipewa matumaini na wakulima wenzangu kua mvua ziko karibuni.
Siku zinakatika jua linazidi kudhoofisha mimea yangu.
Inasikitisha sana kushuhudia mimea inanifia machoni mwangu.
Nimekata tamaa.
Inasikitisha sana.
Pole mkuu,hiyo m10ungeinunulia mazao mwaka huu ingezaa zaidi ya hiyo!
 
Ndio kuanza na kuanza na 10M?
Kweli watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
Mkuu kwenye utafutaji hizi ni changamoto za kawaida.
Maadam tatizo ni mvua ambalo like nje ya uwezo wake, sio issue kubwa sana. Huyu mkuu apewe maua yake kwa ujasiri na uthubutu huo.

Miaka 3 iliyopita nililima ekari 22 za ufuta lakini kwenye hizo ekari 22 nilikuja kupata 1.4M tu hebu jaribu kuwaza gharama ambazo nilitumia kuanzia kukodi eneo na kulima na vibarua pia. Lakini pamoja na hasara niliyoipata sikukata tamaa, nilichukulia positively na nikajifunza kitu. Na sikukichukia kilimo na niliendelea kujaribu kidogo kidogo kusahihisha makosa nilipokosea.
Mwaka huu nimelima ekari 20 za mpunga, pamoja na kwamba mvua mwaka huu mvua sio nyingi ila eneo nililolima ni bondeni sana hivyo mpunga haujaathirika. Kwa neema ya Mungu mwaka huu nitapata mavuno mazuri.

Nilichojifunza ni kutokukata tamaa na kutokusikiliza sana mawazo ya watu hasa wanaowaza katika kushindwa.
 
Niliona nakumbuka lakini siku kufuatilia kama ulikuwa na MILION kumi ulitakiwa uchimbe kisima Chako na ununue pampu ya solar kipindi hiki Cha jua inafanya kazi vyema sana Kisha mipira ya kazaa ya kusambazA maji katika Eka 5 tu asee ungepiga mazao hiyo tulishaacha kipindi Cha nyuma huko jitahidi kishirikiana na watu
Milioni kumi unaweza kuchimba kisima na kuweka pump ya solar???
 
Mkuu kwenye utafutaji hizi ni changamoto za kawaida.
Maadam tatizo ni mvua ambalo like nje ya uwezo wake, sio issue kubwa sana. Huyu mkuu apewe maua yake kwa ujasiri na uthubutu huo.

Miaka 3 iliyopita nililima ekari 22 za ufuta lakini kwenye hizo ekari 22 nilikuja kupata 1.4M tu hebu jaribu kuwaza gharama ambazo nilitumia kuanzia kukodi eneo na kulima na vibarua pia. Lakini pamoja na hasara niliyoipata sikukata tamaa, nilichukulia positively na nikajifunza kitu. Na sikukichukia kilimo na niliendelea kujaribu kidogo kidogo kusahihisha makosa nilipokosea.
Mwaka huu nimelima ekari 20 za mpunga, pamoja na kwamba mvua mwaka huu mvua sio nyingi ila eneo nililolima ni bondeni sana hivyo mpunga haujaathirika. Kwa neema ya Mungu mwaka huu nitapata mavuno mazuri.

Nilichojifunza ni kutokukata tamaa na kutokusikiliza sana mawazo ya watu hasa wanaowaza katika kushindwa.
Hili nalo ni kosa lingine.
 
Nilitenga milioni kumi. Ndiyo 10m!.
Nikaingia porini. Niliweka watu wakasafisha pori. Hiyo ilikua December last year.
Ila kila nikikaa machale yananicheza.
Page pendwa yangu ikawa tma.
Yes bila hiyana nikasoma kua mvua zitanyesha chini ya wastani.
Refer hapa.
Basi nikajipa moyo. Nikaendelea na process za kulima na kisha ilinyesha mvua kidogo. Tukazika mbegu shamba lote.
Ekari 30.
Tuliweka camp nikiambatana na wafanyakazi wangu wa mkataba wa 3.
Vibarua hawakukauka shambani kwangu.
Kwakweli kazi ilifanyika kwa ustadi wote.
Sikutaka kurudi mjini mpaka nione hatima ya pesa yangu ninayoizika siku hadi siku.
Huku nikipewa matumaini na wakulima wenzangu kua mvua ziko karibuni.
Siku zinakatika jua linazidi kudhoofisha mimea yangu.
Inasikitisha sana kushuhudia mimea inanifia machoni mwangu.
Nimekata tamaa.
Inasikitisha sana.
Pole sana ndugu yangu sema m naona kama unataka kulima moja kwa moja lazima uwaze kuhusu upatikanaji wa maji maana nadhani ndio factor kuu ukiachana na mbegu bora na rutuba ya udongo.... nadhani ungewaza juu ya kilimo cha umwagiliaji maana kwa mtazamo wangu naona kama unataka kulima ni bora ukawaza juu ya kilimo cha umwagiliaji ukiwaza mvua mmmm itakuwa changamoto pole sana ndugu yangu
 
Kwamba ningeanza na pesa kidogo mvua ndio ingenyesha? Stupid.
Take it easy bro. Mwaka huu wengi tunalia. Kumbuka tu huu sio mwisho wa maisha. Somo ambalo binafsi nimejifunza miaka ya nyuma ni never ever, kulima sehemu ambayo hakuna maji mbadala ya mvua ili umwagiliaji ufanyike Mambo yanapotaka kuharibika completely. Mabadiliko ya tabia nchi yanatugharimu. Pole mkuu.
 
Back
Top Bottom