Unajua Roulette ni dada yangu lakini muda mwingine huwa ananiona eti mi 'kilaza @ most'. As for why am I so obsessed with Roulette than any other moderator, well perhaps its because she's somewhat charismatic than others.
Mwita25 i tell people who ever listens or interested... You are one of the Most intelligent member hapa Jamvini, I say it GENUINELY.... Ila tu your weird side always overcomes you.... always even in your alters.... The Great thing you are not harmful. I second you on Roulette... I Love her...
Above all, life should be fun.sijaelewa chochote hapa mkuu.
Thanks for compliments AshaDii. Mimi mwenyewe huwa nakukubali kinomanoma ila muda mwingine inakuwa vigumu kuelezea kila kitu hapa jamvini. Lakini najua Invisible atanisaidia kufikisha ujumbe wangu.
Your thoughts become your
words. Your words become your
actions. Your actions become your
habits. Your habits become your
character. Your character
becomes your destiny.
Niko poa AD.Splendid words Kivumah..... Habari yako lakini??
hhaaahh hhaa. MIAFRIKA NDIVYO TULIVYOKivumah amedandia treni tu. Huyo siyo mtu wa kumtia maanani.
Kivumah amedandia treni tu. Huyo siyo mtu wa kumtia maanani.
Vipi AshaDii, upo tayari siku moja kututembelea mashabiki wako wa mikoani?
Hapana, nisingejibu hivi... Majibu yangu ni haya:Marahabaaa, hujambo Mwita25? Vipi mbona umepotea sana siku hizi?
Hawakufuatilii mdogo wangu, kuna kiranja wa darasa alikuwa anaandika wanaopiga makelele darasani akakuona na kuleta jina lako kwa mwalimu wa darasa ndo maana ukapigwa 'suspension'.Aah, nimepotea kwasababu kuna baadhi ya mods wako wananifuatilia sana.
Hapana, nisingejibu hivi... Majibu yangu ni haya:
Maraha bar, mzima lakini? Nini kinasababisha unakuwa 'toto tundu' siku hizi?
Hawakufuatilii mdogo wangu, kuna kiranja wa darasa alikuwa anaandika wanaopiga makelele darasani akakuona na kuleta jina lako kwa mwalimu wa darasa ndo maana ukapigwa 'suspension'.
Safari hii hukuambiwa ukirudi shule uje na mzazi wako lakini ukirudia utapelekwa mpaka mbele za wazazi na tutawaomba wakuadhibu mbele za wanafunzi. Utatembea kwa magoti kwenye changarawe au utaruka kichura mpaka mwalimu wa zamu aridhike kuwa hutorudia.
Umejuaje kama wachangiaji wote ni KE mkuu? Na nani atahakikisha kama wewe ni ME?
umemuonaje yoo..?Nimefurahi kukuona.