Shikamoo Invisible!

Aah, nimepotea kwasababu kuna baadhi ya mods wako wananifuatilia sana.
 
Lmao!!! Nimecheka mpaka basi.... Missed you Mwita25..... Na nahisi hii thread watafunga mda sio mrefu..... lol
 
Mwita25 mzima lakini?? How is Bundajo?? Roulette atakua Off bana mbona sijamuona... wacha tujimwae hapa.....lol

Roulette atamwambia Paw aihamishie thread yangu ChitChat kabla hata Invisible hajaitikia 'Shikamoo' yangu.
 
Niko mjengoni mkuu, si unajua tena magamba mnatulazimisha tukubali upuuzi wenu wa katiba ya kutungia Chalinze.
Ni mawazo ya watanzania aisee...as long as tuliwapa ridhaa ya kutuongoza, lazima tukubaliane na matakwa yao!
 
Roulette atamwambia Paw aihamishie thread yangu ChitChat kabla hata Invisible hajaitikia 'Shikamoo' yangu.

Mie ninachokupendea una akili kuliko hata Ma Mod (watanisamehe) Kumbe wajua kabisa hii ilitakiwa Chit Chat.... What.... Have you fallen for Roulette na calling her attention?
 
Naona hii thread wanaochangia ni KE na siyo ME!! naomba namimi ME nichangie tu kwa kusema karibu mwita25.
 
Mie ninachokupendea una akili kuliko hata Ma Mod (watanisamehe) Kumbe wajua kabisa hii ilitakiwa Chit Chat.... What.... Have you fallen for Roulette na calling her attention?

Unajua Roulette ni dada yangu lakini muda mwingine huwa ananiona eti mi 'kilaza @ most'. As for why am I so obsessed with Roulette than any other moderator, well perhaps its because she's somewhat charismatic than others.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom