Shikamoo Hallotel

Shikamoo Hallotel

Tatzo la 4G ya tigo ni hayo masharti yao
1. Lazma u swap line.
2. Gharama ya kifurushi cha 4G.
3. Ukisha swap to 4G kifurushi pekee cha data utakachotumia ni cha 4G ht km utakua huna coverage ya 4G ukipata 3G lazma kifurushi kiwe kile cha 4G. ( hapa ndio sipataki yani no option kwenye kifurushi)

Nilikimbilia kununua simu ya gharama kwa ajili ya 4G ila baada ya kuiona hayo masharti nmebaki kwenye H+ tu.
Tigo Tanzania correct me if I m wrong.

namba 1 lazima tuipitie, namba 2 inaweza kushuka baadae na namba 3 nakubaliana na wewe its not fair kukuforce vifurushi vya 4g tu.

kila mtandao uki adapt 4g mambo yote yatakaa sawa competition ikiwa kubwa Tigo watarekebisha tu vitu vyao. sasa hivi Smile hajali watu wa kawaida na Smart bado sana ndio maana Tigo ni kama Monopoly wa 4g kwa wateja wa kawaida.
 
Last edited by a moderator:

Tatizo ni kuwa tigo wamekula frequency ya 800 yote wameinunua jumla....
So mpaka siku Voda au airtel wapate frequency tigo watakua wameshatutesa sana.... Labda wachukue band ya 900 waue 2G zao wabaki na 1800 kwa 2G kwa mijini then ile ya 900 iwe 4G.. Ila ni story nyingine hii safari bado...
 
hivi kwanini 4g ina band nyingi hivi? hao walioeka standard kwanini waliamua hivyo?
 
Tatzo la 4G ya tigo ni hayo masharti yao
1. Lazma u swap line.
2. Gharama ya kifurushi cha 4G.
3. Ukisha swap to 4G kifurushi pekee cha data utakachotumia ni cha 4G ht km utakua huna coverage ya 4G ukipata 3G lazma kifurushi kiwe kile cha 4G. ( hapa ndio sipataki yani no option kwenye kifurushi)

Nilikimbilia kununua simu ya gharama kwa ajili ya 4G ila baada ya kuiona hayo masharti nmebaki kwenye H+ tu.
Tigo Tanzania correct me if I m wrong.

1. Wanao Swap Line ni wale wanaotaka kutumia Tigo 4G kwenye Simu au wale wenye Modem na hawaoni maana ya kuwa na line mbili za Tigo.Mm natumia hii Tigo 4G katika modem na si kufanya Swapping yoyote

2.Ni kweli 4G haiko Cheap ila bei zimetofautiana waweza compare Smile na Tigo 4G

3.Line ya 4G katika device ya 4G waweza kuifanya isome 3G Only na ukanunua kifurushi cha 3G.

Wanachokisema wao ili utumie 4G inabidi ununue bundle la 4G lakini kama hauna Hela ukalipia bundle la 3G utatumia ktk Speed ya 3G kawaida
 
Last edited by a moderator:
Tatizo ni kuwa tigo wamekula frequency ya 800 yote wameinunua jumla....
So mpaka siku Voda au airtel wapate frequency tigo watakua wameshatutesa sana.... Labda wachukue band ya 900 waue 2G zao wabaki na 1800 kwa 2G kwa mijini then ile ya 900 iwe 4G.. Ila ni story nyingine hii safari bado...

na cha kuzingatia zaidi ni kuangalia band ambayo simu nyingi zinazouzwa globally zinakuwa nayo.. mfano hii band ya 800 hapa nasema tigo walilamba DUME sababu most of global smartphones zenye 4G zinakuwa nayo.
 
Unamaanisha Tigo 4G wamenunua 800Mhz ???

Mbona Smile 4G wanatumia hiyo hiyo???

Mbona Kuna Varieties za FDD i.e band za 4G LTE FDD ni -- 800/1800/2100/2600 Mhz

Na mitandao kama Voda wakileta 4G kwa hizo bands tajwa hapo Juu mtu hauitaji kununua Modem nyingine i.e Modem ya Tigo itavaa Smile na Voda at the same time Unlike walichokifanya Smart wanaotumia TDD 2300Mhz bako inakuitaji tena ununue Modem nyingine ya 4G

Na Sio Lazima Mitandao itumie Bands zinazojifanana au bands zilizotofauti Mbona Smart wana 4G na wanatumia Bands TDD 2300Mhz wakati Smile na Tigo 4G wanatumia FDD 800Mhz
 
hivi kwanini 4g ina band nyingi hivi? hao walioeka standard kwanini waliamua hivyo?

Technolojia yeyote unaweza kutumia band yeyote ila inategemea na vibali vya mamlaka husika!! Je wamewapa kibali kutumia band hiyo kwa Technolojia ipi....
Kudhibitisha hilo smart wametumia band ya 900 kwa mikoani kwa ajili ya 3G kama ulishawahi sikia project ya rural netco ambayo inasoma kama TZ01 ile ni pure 900....ile ilikua ya HITS( if I am not mistaken) walinuia kusambaza 3G vijijini ila waliposhindwa wakawauzia Ericsson na world bank na sasa Hawa rural netco wameikodisha kwa smart...
 
1. Wanao Swap Line ni wale wanaotaka kutumia Tigo 4G kwenye Simu au wale wenye Modem na hawaoni maana ya kuwa na line mbili za Tigo.Mm natumia hii Tigo 4G katika modem na si kufanya Swapping yoyote

2.Ni kweli 4G haiko Cheap ila bei zimetofautiana waweza compare Smile na Tigo 4G

3.Line ya 4G katika device ya 4G waweza kuifanya isome 3G Only na ukanunua kifurushi cha 3G.

Wanachokisema wao ili utumie 4G inabidi ununue bundle la 4G lakini kama hauna Hela ukalipia bundle la 3G utatumia ktk Speed ya 3G kawaida

Mkuu hiyo namba 3 mara ya kwanza nilisikia kwa mtu nikasema ngoja niulize huduma kwa wateja naye akanipa maelezo hayo hayo unless otherwise awe naye ameni mislead...
Sitaki kuswap line yangu kwa sababu hiyo namba 3....
Ukisha swap sahau vifurushi vya data ya kawaida

I stand to be corrected Tigo Tanzania wanaweza kuwa na maelezo murua zaidi
 
Last edited by a moderator:
na cha kuzingatia zaidi ni kuangalia band ambayo simu nyingi zinazouzwa globally zinakuwa nayo.. mfano hii band ya 800 hapa nasema tigo walilamba DUME sababu most of global smartphones zenye 4G zinakuwa nayo.

4g imegawanyika balaa, 3g kwa GSM ni band 5 tu, wakati 4g ina band 44. tz tuna mitandao mitatu lakini tayari tumeshagawanyika kwenye lte kuna band mbili usishangae hao wanaokuja nao wakazingua vile vile

LTE Bands | LTE Frequency Bands Spectrum | Radio-Electronics.com
 
Unamaanisha Tigo 4G wamenunua 800Mhz ???

Mbona Smile 4G wanatumia hiyo hiyo???

Mbona Kuna Varieties za FDD i.e band za 4G LTE FDD ni -- 800/1800/2100/2600 Mhz

Na mitandao kama Voda wakileta 4G kwa hizo bands tajwa hapo Juu mtu hauitaji kununua Modem nyingine i.e Modem ya Tigo itavaa Smile na Voda at the same time Unlike walichokifanya Smart wanaotumia TDD 2300Mhz bako inakuitaji tena ununue Modem nyingine ya 4G

Na Sio Lazima Mitandao itumie Bands zinazojifanana au bands zilizotofauti Mbona Smart wana 4G na wanatumia Bands TDD 2300Mhz wakati Smile na Tigo 4G wanatumia FDD 800Mhz

I am not so sure mkuu ila katika udadisi wangu ndio nikapewa hayo maneno sasa sijui ukweli wake upo vipi.... Maana mambo ya kusikia nayo si mazuri kwa sasa NAOMBA KUFUTA KAULI.
 
yaani hapa naona maluweluwe tu,,,,,kuna watu wamesoma jamani,,,dah...!!
 
Technolojia yeyote unaweza kutumia band yeyote ila inategemea na vibali vya mamlaka husika!! Je wamewapa kibali kutumia band hiyo kwa Technolojia ipi....
Kudhibitisha hilo smart wametumia band ya 900 kwa mikoani kwa ajili ya 3G kama ulishawahi sikia project ya rural netco ambayo inasoma kama TZ01 ile ni pure 900....ile ilikua ya HITS( if I am not mistaken) walinuia kusambaza 3G vijijini ila waliposhindwa wakawauzia Ericsson na world bank na sasa Hawa rural netco wameikodisha kwa smart...
ninachoaamisha ni haya makampuni ya telecom (Nokia, Huawei, Ericson etc) walivyokaa kutengeneza hio standard kwanini waliigawanya kuwa na band nyingi? lazima kutakua na sababu hapa, kutoka band 5 hadi 44 si mchezo
 
yaani hapa naona maluweluwe tu,,,,,kuna watu wamesoma jamani,,,dah...!!

hizo band za simu ni kama za redio tu, kama kwenye redio unavyosearch radio one 88.8 fm au radio free sjui 144 fm basi na mitandao ya simu ipo hivyo hivyo kila mtandao una band yake
 
ninachoaamisha ni haya makampuni ya telecom (Nokia, Huawei, Ericson etc) walivyokaa kutengeneza hio standard kwanini waliigawanya kuwa na band nyingi? lazima kutakua na sababu hapa, kutoka band 5 hadi 44 si mchezo

Nadhani kuna mpango unakuja kama sio kuzipoteza hizi 2G sijui...

Ushasikia project ya 5G itakayozinduliwa 2020?! Ina speed mara 60 ya 3G... Wataalam wapo maabara....
 
ila standard za 5g hazijawekwa bado lakini vitu vingi vinavyotajwa ni

-ping chini ya milisecond moja, hii inahitajika sana hasa kwenye magari yanayojiendesha yenyewe na kuzuia ajali

-cisco wame estimate kutakuwa na vifaa bilioni 50 mpaka 5g ikitoka inamaana hapa viminara vyetu vya sasa hivi haviwezi vumilia load hii kutatakiwa inafrastructure mpya (ambazo hazijagunduliwa bado)

-estimation cost ya research zitakazotumika mpaka kufikia kuwepo 5g ni dola za kimarekani trilioni 1.7 (hela za kitanzania ni shilingi ngapi vile?)
 
Duuh kwa mpango huo itachukua miaka mpaka wao wajiridhishe ndio ije kwetu huku.....
Nadhani transmission hapo itakua ni fiber tu mambo ya microwaves hayawezi kuhandle hiyo speed of transimission.....

Ila kwa sasa minara inakua connected na fiber optics karibu dar nzima nadhani ni project ya alcatel....
Capacity itaongezeka kiasi...
 
Ni watu wangapi tanzania wanamiliki cm za 4g mkuu? Ww mwnyw nazani huna. Utafungaje 4g wakati coverage ya 3g yenyewe huna...unafunga 4g kwa capacity gani? Halotel wame weka 3g sites paka kwa mkwe wako sasa yuko instagram huon kwao ni faida kuliko anaekimbilia 4g wakat subscribers wachache?

basi wakauze uko vijijini walipofunga sites zao,mm natumia 4g ya smile na ni nzur sana, sitaki kuona 3g tena,makampuni yote makubwa wanacopa ela ili kufunga sites za 4g alafu hawa watu wanaanza na 3g duh! kazi kweli kwenye market coz offer some thing different to other to win the market
 
watu wengi hawatokimbilia Huko leo wala kesho
Labda kwa watumiaji wa Data kwenye PC ndo wepesi kuamia huko

Faida ya hawa jamaa hata sisi tunaotembea vijijini huku tutaweza pata Mtandao wa kutupa 300KB/sec wakati wa ku download
Nieleweshe hapo mkuu. Kwa hiyo nikuchukua sim card huku kwetu kijijini network itakua faster na sio 2G tena?
 
Hawa ndo wakombozi wa Watu wa Vijijini na Mijini ambako Vodacom,Airtel na Tigo wameshindwa toa 3G ya uhakika

Nimeitumia Bush kitu inapiga Speed Balaa 6Mbps na hapo wakati Mnara ni Bar moja kwenye Modem
 
Back
Top Bottom