Shikamoo Hallotel

Shikamoo Hallotel

Mbona nikiitumia kwenye modem ya netural ya artel naona speed hapa morogoro inasuasua.kwanini?
 
Hawa ndo wakombozi wa Watu wa Vijijini na Mijini ambako Vodacom,Airtel na Tigo wameshindwa toa 3G ya uhakika

Nimeitumia Bush kitu inapiga Speed Balaa 6Mbps na hapo wakati Mnara ni Bar moja kwenye Modem

Sikutarajia kuwa na wewe Njunwa Wamavoko unapima network kwa kutumia bar daah nakutegemea sana katika hii forum ya Technology lakini kwa huu Uharo umenistua kidogo!
 
Last edited by a moderator:

Nani Kasema Nimepima Network kwa Kutumia Bars za Minara???

You Need to be A great Thinker kunielewa na Sio mtu wa Kukurupuka tu kama Wewe.

Jaribu Kufatilia Last Conversation kwenye thread ya "Uchambuzi wa Vifurushi vya Halotel"

Utaelewa Kwa nn nimeweka Hiyo tahadhari

Hauwezi ielewa Bible au Quran kwa kusoma Mstari Mmoja

Kajipange Upya Bro
 
Last edited by a moderator:
Hawa ndo wakombozi wa Watu wa Vijijini na Mijini ambako Vodacom,Airtel na Tigo wameshindwa toa 3G ya uhakika

Nimeitumia Bush kitu inapiga Speed Balaa 6Mbps na hapo wakati Mnara ni Bar moja kwenye Modem

umefanya setting gani za halotel mpaka ikakubali kuconnect na moderm?
maana mimi nikiweka kwenye universal moderm yangu inasoma network network vzri tu lakini inagoma connect hebu nipe maujanja ya kufanya hapo Njunwa Wamavoko
 
Last edited by a moderator:
Kwakweli bila kuwasema vibaya

Sehemu nilikokuwa sipati 3G ya mtandao wowote ule hatimaye nimeipata kupitia halotel bigup kwao.

Swali kwa mlio tumia vifurushi vyao hasa kile cha unlimited siku cha MB 800 je zikiisha hiZo mb kina kata au speed inapungua kama ilivyo kwa vodacom?
Cheaf mkwawa
Njunwa wa mavoko na wengineo...
 
ndio speed inashuka
 
umefanya setting gani za halotel mpaka ikakubali kuconnect na moderm?
maana mimi nikiweka kwenye universal moderm yangu inasoma network network vzri tu lakini inagoma connect hebu nipe maujanja ya kufanya hapo Njunwa Wamavoko

Chukua Line Mpya itie kwenye smartphone au simu yoyote ambayo ina support internet
Utatumiwa Installation kwenye simu na wewe utazi install ukidaiwa pswd wakati wa installation tumia 1111

Baada ya hapo itie kwenye Modem line then tengeneza Profile yenye jina Halotel au utakalopenda lakini APN u set b-internet

ZEFLXw.jpg
 
thanks imekubali poa sana
 
Mie nimenunua line yao leo...yaani kama ndivyo hivi watakuwa mwanzo mwisho...Voda,tigo na mwenzao airtel wajiandae kufa kifo cha mende
 
Cheki attached image uone speed yao kwa Arusha....wapo vizuri
 
Attachments

  • 1445599608044.jpg
    1445599608044.jpg
    44.7 KB · Views: 259
Hallotel ndio mpango huku vijijini mpaka raha Data network H+ yaani iko fast.
 
Dah,mimi nina mkosi gani maana mnara waliojenga kwetu hawajaweka 3g.sijui kama wataweka au la!.kama hawataweka ngoja nibakie na airtel tu
 
Back
Top Bottom