Shikamoo Hallotel

Shikamoo Hallotel

Krama

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2011
Posts
293
Reaction score
80
Wadau leo nlikuwa kwa wakala fulani huku Moshi (Marangu) nikajaribu kutumia line yake ya Halotel na kujaribu speed, matokeo yake yalikuwa safi sana kama attached screenshot inavyoonesha
 
Attachments

  • 1444303826715.jpg
    1444303826715.jpg
    49.3 KB · Views: 5,370
Not bad hasa ping nzuri sana kwa mobile data

umeona eeh, yani response ni ya haraka sana wakati unafungua Web pages au streaming.. ila nadhani kwa sababu server zao bado hazijalemewa, tusubiri tuone baada ya kupata wateja wengi itakuwaje
 
watu wengi hawatokimbilia Huko leo wala kesho
Labda kwa watumiaji wa Data kwenye PC ndo wepesi kuamia huko

Faida ya hawa jamaa hata sisi tunaotembea vijijini huku tutaweza pata Mtandao wa kutupa 300KB/sec wakati wa ku download
 
Hahahahahahah!yan mtandao mpya huo? sasa watu million moja wakiconnect kutakuwa na kitu hapo? watu wanafunga 4g wao wanakuja na 3g wakati device zinategenezwa kutumia 4g watashindwa soko hao shaur yao!makampuni mengi ya telecommunication yamechemka hapa bongo mfano sasatel na nyingine ya kimarekali
 
Akuna kitu hapo wasublia tu, ni njia za kuteka soko kwa new business ambayo inaigia sokon kwa first time watu wakija response ikiwa kubwa akutakuwa na utofauti na vodacom. Enderea tu kujaza lain za mitandao.
 
Hahahahahahah!yan mtandao mpya huo? sasa watu million moja wakiconnect kutakuwa na kitu hapo? watu wanafunga 4g wao wanakuja na 3g wakati device zinategenezwa kutumia 4g watashindwa soko hao shaur yao!makampuni mengi ya telecommunication yamechemka hapa bongo mfano sasatel na nyingine ya kimarekali

Ni watu wangapi tanzania wanamiliki cm za 4g mkuu? Ww mwnyw nazani huna. Utafungaje 4g wakati coverage ya 3g yenyewe huna...unafunga 4g kwa capacity gani? Halotel wame weka 3g sites paka kwa mkwe wako sasa yuko instagram huon kwao ni faida kuliko anaekimbilia 4g wakat subscribers wachache?
 
simu za 4g zipo nyingi sasa hivi. qualcomm ndio mtengeneza soc mkubwa wa simu na chip yake dhaifu kabisa itakayotumika kwa simu za bei rahisi yaani snapdragon 210 ina 4g lte, hadi mediatek siku hizi wana 4g hivyo hakuna excuse kuwa hakuna simu za 4g. wengi simu zetu zina 4g ila sababu hakuna network yake ndio maana huwezi itumia.
 
kuwa muelewa ndugu yangu, huwezi kuwa na 4g kwa Dar tu wakati 3g imekushinda. Inshort hawa 4g wamekurupuka. Wataweza kusambaza 4g wakati 3g tu imewashinda?
Kama halotel kaweka 3g mpaka vijijini hatuna budi kumpongeza.
 
Achana nao, Tanzania taralila nyingi na kujifanya wapo juu, iyo 3g tu sisi tuliopo vijijini tunaifahamu wale tuliotoka mjini kwanza hata kumwambia mtu data hajui ni nn, smartphone haijawafikia watanzania hata kwa asilimia 15%. Wengi bado wana feature phone.

Sasa mbona hao akina voda/tigo hata mjini tu hawana iyo 3g?

Lakin niwaambie watu walioko marekani wata prove kuna sehemu marekani hakuna 3g nje ya miji, kuna 2g pekee, itakuwa Tanzania?
 
kuwa muelewa ndugu yangu, huwezi kuwa na 4g kwa Dar tu wakati 3g imekushinda. Inshort hawa 4g wamekurupuka. Wataweza kusambaza 4g wakati 3g tu imewashinda?
Kama halotel kaweka 3g mpaka vijijini hatuna budi kumpongeza.

sasa unataka watu wasiendelee sababu kuna maeneo hayana 3g? why tusipige kura maghorofa dar yavunjwe hadi vijijini wakianza kujenga maghorofa tujenge wote? na mateja wa vijijini nao wanaocheza kamari ya karata 3 waandamane watake makasino.

lazima tukubali Tanzania enzi za ujamaa zimeisha sasa hivi tupo ubepari mahala penye faida basi wawekezaji ndipo watakapowekeza na tusitegemee mtu atoe mabilioni ya fedha akawekeze eneo litakalomtia hasara, kama wameweka 3g vijijini tutawapongeza ndio hilo halina ubishi lakini haliwapi sababu ya kutokuwa na 4g vilevile

kama 4g inalipa kwa dar tu then wataeka 4g dar, hakuna wa kuwazuia dunia nzima ipo hivyo hata nchi zilizoendelea kama marekani hazina coverage ya 4g nchi nzima ni miji mikubwa tu inayo
att-sprint-tmo-coverage.png

na 4g ikianza kutumika even wewe mtu wa 3g utafaidika sababu mbanano wa 3g utapungua wengine wakitumia 4g, speed ya 3g itaongezeka hasa maeneo yenye watu wengi.
 
Ahsante saana mkuu umemaliza kila kitu,
 
Hawa jamaa wapo vizuri nimewatumia nikiwa msumbiji kwa kweli voda tigo airtel wajiandae
 
Nataka kujua hao halotel wako marangu mtoni tuu au tz nzima na vijiji vyakee
 
Hawa hasa wanataka soko la vijijini ndio walishike wao Kwa kuwa vijiji vyote Tz watakuwa na mtandao madhubuti kushinda mitandao iliyopo...
 
Nataka kujua hao halotel wako marangu mtoni tuu au tz nzima na vijiji vyakee

hawa jamaa wapo tz nzima kaka, alafu kote wana 3.75G mpaka interior kabisa ambako mitandao mingine bado haijawa na 3G. kwa kweli wameanza vizuri, ngoja tuwasikilizie bundle zao wakizidua hio tar 15.
 
Back
Top Bottom