Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,903
- 9,915
- Thread starter
- #41
So sadBasi ni sawa na kukutana na mtu mtandaoni.

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Alafu mwanzoni we blood ulikua mwema sana ila ulipoanza kujiingiza katika kikundi cha vijana wa hovyo ukabadilika kabisa ..Wakuu kumekuchaje?
Kwangu sio poa sana. Najutia hata kuacha kwenda kazini ili niende kuzini.
Kiufupi, kama wiki mbili nyuma kuna mwanamke mmoja kwenye mtandao fulani amekuwa ni kama ametembelea page yangu. Alichokifanya ni kupitisha likes kwenye kila content ambayo nimewahi kushare, hadi zile za miaka ya nyuma kabisa. Zaidi ya hapo alicomment kwenye picha current lakini sikuweza kureply..
Sikujali saana sababu ni issue ya kawaida tu kutokea kwa mambo hayo. Wala sikutilia maanani sana hadi siku ya jumapili ambayo nilipokea ujumbe DM ulioandikwa "Mambo?"
Nilijibu poa, tukachat ila nilichokuja kugundua ni kuwa mwenzangu ananifahamu ila mimi sikuwa namjua na nilijaribu kupitia page yake kuna picha tano tu ambazo hazikutosha kufanya nimtambue au angalau nihisi nimewahi kumwona mahala popote. Nilimweleza kuwa sijaweza. Akawa kaniomba nambari ya simu, sikusita nikampatia, akanipatia zake pia.
Tulianza kuwasiliana, mambo yakawa yanaenda poa. Ilibidi nimwombe picha whatsapp ili nipate kumfahamu, alinitumia nyingi sana, zilionyesha ni binti mzuri sana.. kwa maelezo yake nilitambua yupo ndani ya eneo husika. Hadi kufikia hapo sikuwa nimejua hasa lengo la kuwasiliana na mimi lilikuwa ni lipi, ikabidi niingie tamaa tu nikamtongoza moja kwa moja. Sikupata ugumu sana kuafikiwa, nikakubaliwa. Nilifanya hivyo kwakuwa yupo karibu, nisingethubutu kama angekuwa mbali sababu ingekuwa ni upotezaji wa resources na time.
Kutokana na u-busy wa kazi sikupata kabisa nafasi ya kuonana nae. Ilikuwa ni tamanio la kila mmoja kuonana, ila muda haukuwa rafiki kwa upande wangu kutokana na mambo ya kazini.
Sasa baada ya mambo kupungua kazini nikaona leo niibe muda nikutane na huyu mrembo na nikafanikisha hilo. Nilimpigia dada wa Guest House moja niipendayo nika-book chumba nikamwambia saa mbili nitafika.
Nilienda hadi pale binti aliponielekeza nikamchukue. Nilifika, in reality ni binti mzuri ila matarajio niliyokuwa nimejiwekea na nilichokiona ni tofauti kidogo. Zile picha nilizoziona na rangi yake, sivyo alivyokuwa. Ile rangi ya mtume aliyokuwa nayo pichani si aliyokuwa nayo. Ilinipa kutambua kuwa zile picha alikuwa ameji-pimp tu. Siwezi kueleza kila kitu ila kwa wanaume najua mnaelewa hii situation na kile ninachojaribu kueleza kwakuwa ni wengi wamepitia hii situation kwa namna moja au ntingine kwenye harakati za kuchakata. Picha unayopata kichwani ndio hiyohiyo nayomaanisha.
Kitu kilichonipa sababu ya kuendelea ni package aliyonayo nyuma. Waswahili wanasema hunyimwi vyote, ndiyo ilivyo kwake.. hicho pekee kimenipa sababu bilioni za kujiamini.
Mzee wake ni mzee mmoja mwanajeshi mstaafu na ni maarufu japo mimi simfahamu. Maswali yake ni yaleyale kuniuliza kama sina wanawake wengi tangu siku ya kwanza namtongoza na kila siku huuliza hivi. Nimemtoa hofu japo haonyeshi kuamini kabisa.
Nimempelekea mbili takatifu, nikamuendesha hadi nilipomchukulia nikamuacha hapo.
Filters Shikamoo aisee.. Nakupa heshima yako. Usipoichukua safari hii nakupa hata kwa nguvu.. Najaribu kuwaza, kama hata tako angekuwa hana sijui ningeiweka wapi sura yangu. Poor Brain
Mkuu mini ni mwema since way back, sijabadilika, wewe tu ndio huwa sjui unanionaje tu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Alafu mwanzoni we blood ulikua mwema sana ila ulipoanza kujiingiza katika kikundi cha vijana wa hovyo ukabadilika kabisa ..
kiufupi umeingia cha kike, mkuu ndo mana wenzako tunapigaga video call usiku wa manane ili tupate uhakika..
Kingine mi mtalam wa Photoshop naelewa sana yaani nikiona picha ina retouching nying najua kabisa hapa hakuna kazi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nguzo anasemaje kwani
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mkuu mini ni mwema since way back, sijabadilika, wewe tu ndio huwa sjui unanionaje tu 😂😂
Video calls huwa natumia kuwasiliana na baadhi ya watu tu, kwa huyu hata wazo sikuwa nalo kabisa, nadhani hapa my brain turned Poor.
Mtoto wa watu saa hizi zile baby umekula, baby unafanyaje, baby nimeshakumiss kaanza kuzituma kila baada ya dakika 5.. Anajifanya anaenjoy kuwa na mimi na kunipa vistory uchwara vya Ex wake waliomuumiza nyuma hajui kuwa mimi ndio shetani mwenyewe. Kimoyomoyo najisemea tu "WELCOME TO THE HEADQUARTER"
Kuhusu nguzo sasa 🤣🤣🤣🤣... Sitaki unigombanishe na watu Mwachiluwi
hudumia wazazi kijana, acha kuhangaika na matako mjiniWakuu kumekuchaje?
Kwangu sio poa sana. Najutia hata kuacha kwenda kazini ili niende kuzini.
Kiufupi, kama wiki mbili nyuma kuna mwanamke mmoja kwenye mtandao fulani amekuwa ni kama ametembelea page yangu. Alichokifanya ni kupitisha likes kwenye kila content ambayo nimewahi kushare, hadi zile za miaka ya nyuma kabisa. Zaidi ya hapo alicomment kwenye picha current lakini sikuweza kureply..
Sikujali saana sababu ni issue ya kawaida tu kutokea kwa mambo hayo. Wala sikutilia maanani sana hadi siku ya jumapili ambayo nilipokea ujumbe DM ulioandikwa "Mambo?"
Nilijibu poa, tukachat ila nilichokuja kugundua ni kuwa mwenzangu ananifahamu ila mimi sikuwa namjua na nilijaribu kupitia page yake kuna picha tano tu ambazo hazikutosha kufanya nimtambue au angalau nihisi nimewahi kumwona mahala popote. Nilimweleza kuwa sijaweza. Akawa kaniomba nambari ya simu, sikusita nikampatia, akanipatia zake pia.
Tulianza kuwasiliana, mambo yakawa yanaenda poa. Ilibidi nimwombe picha whatsapp ili nipate kumfahamu, alinitumia nyingi sana, zilionyesha ni binti mzuri sana.. kwa maelezo yake nilitambua yupo ndani ya eneo husika. Hadi kufikia hapo sikuwa nimejua hasa lengo la kuwasiliana na mimi lilikuwa ni lipi, ikabidi niingie tamaa tu nikamtongoza moja kwa moja. Sikupata ugumu sana kuafikiwa, nikakubaliwa. Nilifanya hivyo kwakuwa yupo karibu, nisingethubutu kama angekuwa mbali sababu ingekuwa ni upotezaji wa resources na time.
Kutokana na u-busy wa kazi sikupata kabisa nafasi ya kuonana nae. Ilikuwa ni tamanio la kila mmoja kuonana, ila muda haukuwa rafiki kwa upande wangu kutokana na mambo ya kazini.
Sasa baada ya mambo kupungua kazini nikaona leo niibe muda nikutane na huyu mrembo na nikafanikisha hilo. Nilimpigia dada wa Guest House moja niipendayo nika-book chumba nikamwambia saa mbili nitafika.
Nilienda hadi pale binti aliponielekeza nikamchukue. Nilifika, in reality ni binti mzuri ila matarajio niliyokuwa nimejiwekea na nilichokiona ni tofauti kidogo. Zile picha nilizoziona na rangi yake, sivyo alivyokuwa. Ile rangi ya mtume aliyokuwa nayo pichani si aliyokuwa nayo. Ilinipa kutambua kuwa zile picha alikuwa ameji-pimp tu. Siwezi kueleza kila kitu ila kwa wanaume najua mnaelewa hii situation na kile ninachojaribu kueleza kwakuwa ni wengi wamepitia hii situation kwa namna moja au ntingine kwenye harakati za kuchakata. Picha unayopata kichwani ndio hiyohiyo nayomaanisha.
Kitu kilichonipa sababu ya kuendelea ni package aliyonayo nyuma. Waswahili wanasema hunyimwi vyote, ndiyo ilivyo kwake.. hicho pekee kimenipa sababu bilioni za kujiamini.
Mzee wake ni mzee mmoja mwanajeshi mstaafu na ni maarufu japo mimi simfahamu. Maswali yake ni yaleyale kuniuliza kama sina wanawake wengi tangu siku ya kwanza namtongoza na kila siku huuliza hivi. Nimemtoa hofu japo haonyeshi kuamini kabisa.
Nimempelekea mbili takatifu, nikamuendesha hadi nilipomchukulia nikamuacha hapo.
Filters Shikamoo aisee.. Nakupa heshima yako. Usipoichukua safari hii nakupa hata kwa nguvu.. Najaribu kuwaza, kama hata tako angekuwa hana sijui ningeiweka wapi sura yangu. Poor Brain
Naona watu wamesahau swali la muhimu..Yote tisa,ulivyomshusha ulipomchukulia ulimpa Hela?
Eeeh maana huyo mwenzie yuko kazini.....yaani wanaume kweli ni maharage ya Mbeya....mwenzie kampanga alike picha zote, kagonga mambo??jamaa kajaa kene mfumoNaona watu wamesahau swali la muhimu..
mtoa mada, Je, ulitumia kinga kwenye huo uzinzi ..?
Aaaaaah kwahyo sisi ni marage ya mbeya..Eeeh maana huyo mwenzie yuko kazini.....yaani wanaume kweli ni maharage ya Mbeya....mwenzie kampanga alike picha zote, kagonga mambo??jamaa kajaa kene mfumo
😂😂😂😂😂Eeeh maana huyo mwenzie yuko kazini.....yaani wanaume kweli ni maharage ya Mbeya....mwenzie kampanga alike picha zote, kagonga mambo??jamaa kajaa kene mfumo
😂😂😂😂😂
wanaume wengi ndiyo maana huwa ni rahisi mno kunasa kwenye 'honey trap', nguvu kubwa haitumiki wala ni kama tu kusukuma mlevi unakuta kashategeka..!!
Yaani ukimtabasamu kakutongoza he hee😂😂😂😂😂
wanaume wengi ndiyo maana huwa ni rahisi mno kunasa kwenye 'honey trap', nguvu kubwa haitumiki wala ni kama tu kusukuma mlevi unakuta kashategeka..!!
Na bado hamkomi!🤨
Hii ni nadra sana, sababu kubwa ya kukataa ilikuwa ni ipi..?MI nilikataa mademu jumla wanne walionitongoza
halafu hata wakiwa treated tu vizuri wanajua mtu yupo interested nao, wanatongoza wanaishia kupigwa chini, kuna mmoja hadi alikuja lalamika humu eti aliona dalili zote na akashangaa kakataliwa, nikamuambia tu 'huwajui wanawake mzee'...!Yaani ukimtabasamu kakutongoza he hee
Hadi waanze kutu text kama weweInategemea mkuu