Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,794
- 8,934
Dah, Kuna mwanamke mwenzangu huko kajua kapata mtu waanzishe safari kumbe anafikiriwa
Haya bhana
Haya bhana
Mkuu wa kujikoboa huwa situmii aisee. Unakuta demu sura coca-cola halafu mikono Mirinda😂😂Ni filter tu au kajichubua kabisa? Kama filter tu si anaoga kabla hujamuweka, then mafilter yote yanatoka unakula utam. Changamoto ni kama amejikoboa, wananuka balaa.
Kama mengine yanabaki constant, hana kisamaki na kipapa kipo vizuri, hakuna kulalama..ni kuichapa...vijana mnafeli wapi.
Sawa sawa Dr. Kigwangala🤣aiseeeh',
Pole sana mkuu, hilo lilipaswa liwe la kwanza, angalia starehe ya dakika chache isije kugharimu maisha yote yaliyo mbele yako,
bado una ndoto nyingi hujatimiza, una familia na wazazi ambao wanakuamini na kukutegemea, usihadaike na comments za JF, this is your fqn life, Makinika..!
Mkuu we can settle, you never knowDah, Kuna mwanamke mwenzangu huko kajua kapata mtu waanzishe safari kumbe anafikiriwa
Haya bhana
Afadhali umeweka Neno "wengi" ungeweka Neno "wote" ningeandamana😂😂😂😂😂
wanaume wengi ndiyo maana huwa ni rahisi mno kunasa kwenye 'honey trap', nguvu kubwa haitumiki wala ni kama tu kusukuma mlevi unakuta kashategeka..!!
Kuelekea wapi mkuu,,😂Afadhali umeweka Neno "wengi" ungeweka Neno "wote" ningeandamana
Daruga zimesha tundikwaaaa😆Hapo inakuwa ni kama vile unakula kuku iliyokufa peke yake
Huyu jamaa toka kitambo sijawahi elewana nae ...Mkuu wa kujikoboa huwa situmii aisee. Unakuta demu sura coca-cola halafu mikono Mirinda😂😂
Anyway, Poor Brain njoo umuone ERoni asiye na Mask
Edit toa sehemu ya juu tu afu tuma kuanzia kifua kuja chini..Mkuu haitakuwa sawa kum-expose. Huenda kuna watu wanamfahamu, ikawa rahisi kunitambua hata mimi.
Au unataka picha ya app ya filter anayotumia nikuombee kwake?
Umetundika wapi bwana, wakati nakuona unazishusha na kupuliza vumbi kidogo na maneno kidog "dah kitambo sana hizi ngoja nizipashe moto" 🤣 🤣Daruga zimesha tundikwaaaa😆
Alikufanyaje mkuu 🤣🤣🤣Huyu jamaa toka kitambo sijawahi elewana nae ...
Chanzo ni mambo madogo madogo tu 🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌
Mkuu unazingua ujueEdit toa sehemu ya juu tu afu tuma kuanzia kifua kuja chini..
Fanya hivyo tafadhari tuone picha yake ficha sura tu hatuna shida nayo, tuone shape
Kama umeniona vilee.Umetundika wapi bwana, wakati nakuona unazishusha na kupuliza vumbi kidogo na maneno kidog "dah kitambo sana hizi ngoja nizipashe moto" 🤣 🤣
Wanaume tunajuana bana 😄
Kwa hiyo ulichakata mchakato?Kitu kilichonipa sababu ya kuendelea ni package aliyonayo nyuma
Wengine nilikuwa siwaelewi, unayemuelewa ukimfuata, mashauzi mengiHii ni nadra sana, sababu kubwa ya kukataa ilikuwa ni ipi..?
Hapo ni kupigia mstari tu mkuuKwa hiyo ulichakata mchakato?