Nyie hadi mnyofolewe Oesophagus ndio muelewe kama hampendwi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Unavyojitetea sasa wakati ushaingizwa cha kike wewe tulia hukoooo...
Sema mwanangu unakula mashavu tuu na huyo mtoto maana kakukubali mwenyewe an kuna sisi tunafosigi king lakini wapi dadek
🤣🤣🤣 Njoo PM nikuombe msamaha bibieUmeamua kuja kunitangaza jf ehh
Nimepata mademu huyu wa sita kutoka mitandao ya kijamii. Mmoja nilimpatia YouTube kwenye comments kwenye video moja hivi ya game ya Yanga na Simba na nilimpelekea moto Poor BrainHadi waanze kutu text kama wewe
Una uhakika wazazi wangu wapo vibaya? Hata nifanye nini bado siwafikii kiuchumi na sometimes wananipiga tough. Sasa wewe unataka niwape msaada gani mkuuhudumia wazazi kijana, acha kuhangaika na matako mjini
Baaasiii!Acha uzinzi...
Weka picha
Penye miti mingi...MI nilikataa mademu jumla wanne walionitongoza
Hapo inakuwa ni kama vile unakula kuku iliyokufa peke yakeAaaaaah kwahyo sisi ni marage ya mbeya..
Yaani maji mara moja tushajaa
Mkuu yule mzima bwana, hana limchakato..Naona watu wamesahau swali la muhimu..
mtoa mada, Je, ulitumia kinga kwenye huo uzinzi ..?
Haha,Mkuu yule mzima bwana, hana limchakato..
Mkuu mbona unantisha.. Hili halikuwepo kabisa mawazoni mwangu unalianzisha laniniHaha,
billionaire, siku hizi unapima kwa macho tu, eti baba..??
Mwanangu mi nikipenda huwa chiziNyie hadi mnyofolewe Oesophagus ndio muelewe kama hampendwi
Wewe hata usipopenda tayari kipa katokaMwanangu mi nikipenda huwa chizi
Sawa Dokta JANABIMmewasiliana kwa tamaa zenu za kimwili tuu na mnaonania guest haki vijana nmekata tamaa ya maisha sana
Hamjali chochote tenaaa
Magonjwa, usalama wako?
aiseeeh',Mkuu mbona unantisha.. Hili halikuwepo kabisa mawazoni mwangu unalianzisha lanini