Shikamoo bakhresa... teh teh

Shikamoo bakhresa... teh teh

VAN HEIST

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
1,434
Reaction score
617
1421208191360.jpg
 
Cha muhimu ahakikishe ubora wa utitiri wa bidhaa zake na pia alipe kodi zote stahki
 
Haswaa, tena yaloungwa na Nazi yake ya pakti yapate kuliwa na chapatti au maandazi yake, mbona wanawake wasiopenda kupika watachekelea.

Yan itakuwa full burudani manake mi maharage napenda ila kupika sasa mtihani
 
Tunasubiri maharage ya azam yaliyopikwa na kuungwa kabisa

ukipiga ugali wake,maharage yake yaliyoungwa kwa nazi zake ukashushia na maji ya uhai na zile juice zenye sukari kama kashata....utaishi maisha marefu sana.
 
Hawezi kufikia level hizo

Kwa nini asiweze?kwani ndege ya abiria ni shilingi ngapi na utajiri wake unafikiri ni shilingi ngapi?Kwa pesa aliyonayo anaweza kuwa na shirika la ndege kwa taarifa yako sema watu wana vipaumbele vyao wamejiwekea nini wafanye na nini wasifanye.Biashara ya ndege Africa ni ngumu sana na ipo na changamoto nyingi sana na ndo maana mashirika mengi yanayumba angalia Kenya airways na precision air zinavyopata hasara.
 
Back
Top Bottom