Shikamoo kwa wanandoa naona ni uzushi tu. Na kwa ujumla, ni salamu inayonikera sana mimi. Nikikupa itabidi ujisifu!Habari zenu wana Jf,
Kuna hili jambo huwa najiuliza, sijapata jibu. Labda wana ndoa wanaweza kusaidia.
Je kuna umuhimu wa wanandoa au wapenzi kumpa shikamoo mwenzake aliyemzidi umri?
Habari zenu wana Jf,

Sio lazima, lakini mke akiamua kufanya hivyo sio vibaya!!!

Mimi nitapenda kama nitamzidi mzee umri anipe shikamoo yangu ila akinizidi sitaweza kumwamkia. Japokuwa hamna umuhimu sana kuamkiana, inategemea na katiba ya nyumbani yenu.
Mbona wewe huniamkia ama ni for a short term?
Haina haja mtu wangu, shikamoo nini mimi pia si ipendi kabisa
Lol! at least i laughed here!Marhaba! Hujambo ww?
neno shikamoo halina maana nzuri
eti niko chini ya miguu yako? ukoloni mind set! siipendi kwakweli!