Shikamo pesa!!!!

Shikamo pesa!!!!

Nguvu moja

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
3,370
Reaction score
2,715
695414144dc65bc4a7cb32a132c61ad7.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
 
Pesa, chapa,mkwanja,Bingo,mabovu,Shilingi,Ngawira,Mtonyo,Mawe,Maisha,Ndururu;hayo yote ni majina ya kitu kimoja na hicho ndcho knachowafanya akna Dada Corner bar,Posta (Ohio),Kwa Kimboka,Manzese (Lambo/Chama/Uwanja was fisi),Sinza (Afrika sana,Sheli ya Big bon),Tegeta (opposite na Tegeta complex), Chichi club (Tanga),majestic (Tanga),Kwa Blaza 'Y' (Mtwara),Villas Park (Mwanza),Makoroboi (Mwanza),Msamvu Stand (Morogoro) na Orion club (Tabora) kusimama ubaoni na kuuza 'V'

Pesa ndyo iliyofanya hata Gangwe Mob na crews nyingine kibao kuvunjika,ndoa zinadumu na kuvunjika Kwa sabab ya fedha,Magereza yamejaa watu wasio na hatia Kwa Sabab ya pesa, hata mtoto wa jirani amemkataa Baba yake was damu ili aje amuunge mkono Dingi a.k.a the Dingili Mkono
Kwa kifupi PESA ndyo jawabu la mambo yote!
 
Mwanaume huyu Mungu anamuona halafu bila haya analalamikia matunzo, angalia alivyomfuja mtoto wa watu kumbe bado kabisa, leo ati na yeye anataka kula bata, aendelee kula makanyagio hovyo sana
 
695414144dc65bc4a7cb32a132c61ad7.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Uyo mama diamond hapo kapiga mekapu ..pia kapiga picha kwa camera nzuri ...yenye quality...lakin ukimuona live mbona utakimbia ...kashasagika senta bolti zote Huyo...sahiv watu camera za canon na mekaou zinawabadirsha sana watu...huko Insta .
 
Hivi we dogo ulisomea bk sec?
 
Pesa, chapa,mkwanja,Bingo,mabovu,Shilingi,Ngawira,Mtonyo,Mawe,Maisha,Ndururu;hayo yote ni majina ya kitu kimoja na hicho ndcho knachowafanya akna Dada Corner bar,Posta (Ohio),Kwa Kimboka,Manzese (Lambo/Chama/Uwanja was fisi),Sinza (Afrika sana,Sheli ya Big bon),Tegeta (opposite na Tegeta complex), Chichi club (Tanga),majestic (Tanga),Kwa Blaza 'Y' (Mtwara),Villas Park (Mwanza),Makoroboi (Mwanza),Msamvu Stand (Morogoro) na Orion club (Tabora) kusimama ubaoni na kuuza 'V'

Pesa ndyo iliyofanya hata Gangwe Mob na crews nyingine kibao kuvunjika,ndoa zinadumu na kuvunjika Kwa sabab ya fedha,Magereza yamejaa watu wasio na hatia Kwa Sabab ya pesa, hata mtoto wa jirani amemkataa Baba yake was damu ili aje amuunge mkono Dingi a.k.a the Dingili Mkono
Kwa kifupi PESA ndyo jawabu la mambo yote!
Naunga mkono hoja 100℅ mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom