SHIKAMO COMRADE HUMPHREY POLEPOLE

SHIKAMO COMRADE HUMPHREY POLEPOLE

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
869
Reaction score
1,282
Ni lazima Magugu yatengane na ngano. Kuna watu ukiona wanafanya mambo ndivyo sivyo ilihali Mungu amewaumba kwa usahihi na uaminifu mkubwa, unabaki kuumia moyo. Unajiuliza,,hata huyu???

Niliuliza wakati fulani hapa JF, hata Mpango anashindwa kuliponya Taifa?

Watu wengine wote wanaweza wakaisaliti nchi na nikaona huyu unaweza kufanya hivyo, lakini ikitokea mfano:

1. Dr. Mpango, lazima ujiulize hata huyu?
2. Humphrey Polepole
3. Hussein Mwinyi
4. Mzee Warioba
5. Mzee Butiku
6. Lissu
7. Heche
8. Mwakubusi
9. Kafulila: yaani mpaka kesho nashangaa na nasikitika kuona mwenyendo wake.
10. Padri KITIMA

Shikamo Polepole umeandika maneno mazito, ya busara na ukweli.
 
Msoga lazima aambiwe historia itamuhukumu kwa madhila yote ya Tanganyika kutawaliwa tena na wageni Kwa kushirikisha kina chifu Mangungo wa kileo.
Namshauri ahamia Australia na anajua kwa nini.
 
Screenshot 2025-07-13 at 13.23.03.png
 
Tena sana ongera Polepole
 
Mpaka Sasa UVCCM Wapo Kimya Hawajajibu Lolote
 
CCM siyo fair kabisa yani wamemkata Hamorapa?

Wajumbe siyo watu, hata mimi najiuzulu.
 
Msoga lazima aambiwe historia itamuhukumu kwa madhila yote ya Tanganyika kutawaliwa tena na wageni Kwa kushirikisha kina chifu Mangungo wa kileo.
Namshauri ahamia Australia na anajua kwa nini.
Huyu Mzee ni motoni moja Kwa moja
 
Back
Top Bottom