Basi kama ni hivyo magazeti ulaya yangekufa . Ambako mitandao inatumiza zaidi kuliko tz . Hivi huko mikoani na wilayani na vijijini nako wanasoma blogs na mitandao. Vipi umeme na mgao. Tumia kichwa kufikiri......
we unadhan watanzania weng kutumia hudama ya internet ndo kunaweza kuua biashara ya magazeti?mbona ulaya wako mbal katika technolojia na bado wanatoa magazeti kila siku?
unaota weye, mi nilidhani kaamua mwenyewe, kumbe ni unrealistic data data zakoUkiachilia matangazo ya biashara ( mengi ni ya waganga wa kienyeji ), na hadithi ( machombezo ), habari zote za kwenye magazeti ya udaku zinatoka kwenye blogs na mitandao mbalimbali ya kijamii. tarifa zote zinazo andikwa kwenye magazeti ya udaku, zinakuwa tayari zimeshaandikwa kwenye blogs. Kwa mujibu wa DUDUMIZI.COM katika kila watanzania 10, mtanzania mmoja anatumia mtandao....Muda si mrefu sana, magazeti ya udaku yatakufa kama yalivyo kufa majarida..
Ukiachilia matangazo ya biashara ( mengi ni ya waganga wa kienyeji ), na hadithi ( machombezo ), habari zote za kwenye magazeti ya udaku zinatoka kwenye blogs na mitandao mbalimbali ya kijamii. tarifa zote zinazo andikwa kwenye magazeti ya udaku, zinakuwa tayari zimeshaandikwa kwenye blogs. Kwa mujibu wa DUDUMIZI.COM katika kila watanzania 10, mtanzania mmoja anatumia mtandao....Muda si mrefu sana, magazeti ya udaku yatakufa kama yalivyo kufa majarida..
kama ndio unafanya utafit huna point za kutetea hoja zako, japo wabongo hatupendi kujisomea lkn magazet tunanunua hata kama ni habari moja
unafikiri inawezekana kirahisi ...?
Ukiachilia matangazo ya biashara ( mengi ni ya waganga wa kienyeji ), na hadithi ( machombezo ), habari zote za kwenye magazeti ya udaku zinatoka kwenye blogs na mitandao mbalimbali ya kijamii. tarifa zote zinazo andikwa kwenye magazeti ya udaku, zinakuwa tayari zimeshaandikwa kwenye blogs. Kwa mujibu wa DUDUMIZI.COM katika kila watanzania 10, mtanzania mmoja anatumia mtandao....Muda si mrefu sana, magazeti ya udaku yatakufa kama yalivyo kufa majarida..
hata kwa dawa hawezi kuacha,zaidi ataongeza magazeti mengine katika Industry