na mla tigo maarufu tu hapa mjini tena na yule mwandishi wake S A ndo mkewe
mxiiiiuuuuu zake tutamlipua vizuri tu
Kuna watu wamejiua na wengine kupeana talaka baada ya kudhslilishwa na hayo magazeti yake....hii ni mbaya sana kwa ustawi wa jamii:sly:
Activities are a best way to show your child that learning is a fun. Indoor and Outdoor activities that will help to develop your child's imagination, creativity, thinking skill, simagination & social skills. Toddler Takeover gives you the opportunity to GET INVOLVED and have fun with your little one instead of just watching from the sidelines, however if you do just want to relax and watch your Toddler having a great time from the sidelines that is an option as well!
For more information please visit our site:- Gravity Force, Sports & Fun Activities
Yeah anampigia debe Lowassa kwa nguvu nyingi sana!hana usafi wowote ndo maana kajificha kwenye mgongo wa siasa ili maovu yake yasionekane
Hapa dawa kila mwanaume apige marufuku mke au demu wake kusoma magazeti ya udaku ya huyo mpuuzi shigongo! Ukimkuta nalo adhabu yake kama ni mke adhabu ya dharura vibao, adhabu ya pili ni kuchepuka kwenye game unamwacha katikati...km ni mchumba au mchepuko unampiga chini maana wanawake ndiyo wasoma umbea huo.
Ha ha ha ha!! Shigongoooooo..mzee wa story za kuzimu,magazeti yake yote ni...ohh "Niliishi kuzimu miaka 7..ooh mara nimeishi makaburini nikatokezea kuzimu...KA!!!!Huyu jamaa ananifurahishaga sana na zile porojo zake zakuwahadaa watanzania eti namna yakuwa mjasiriamali na jinsi Mungu amembariki..gade.m...et
Global Publisher wasifanye uandishi dhaifu je baba yake Erick akikaa uchi wanaweza kumpiga picha? Tumeona habari nyingi za uingiliaji wa faragha za watu na wananganganizwa kupigwa picha huu ni unyama. Pesa mnazokula ni haramu kwa kuingilia faragha za watu. Kuna jambo gani geni kwenye ngono? Fuatilieni mambo yenye tija anayomomyoa uchumi na sio vi cheap stories kwenye faragha za watu hakika tutalifilisi gazeti siku moja
magazeti yapi mkuu, mana sehemu kubwa ya magazeti ya udaku wameshika wao
uone nini mkuu