Shigongo, kama biashara imekushinda, funga kampuni

Shigongo, kama biashara imekushinda, funga kampuni

Faragha na wake za watu.. ??? Au waume za watu??. Hivi kama wewe ukiona wamekukamatia mgoni wako utaawachukia kweli?
Nani amewapa kazi ya kukamata wagoni na wengi wao ni feki au wanakomoana, wanapanga na wake au wachumba zao wajifanye hawana waume wakitongozwa, na wakishapanga kukutana sehemu, mwanamke anampigia jamaa yake wakachukue pesa,kwa kabla ya hayo magazeti kulikuwa hakuna wageni au malaya. Zoezi lao linaharibu familia za watu.
 
Hawa GPL wanafanya makosa sana, nashangaa na serikali nayo iko kimya! Haki ya faragha inapotezwa kabisa!
Serikali ipo kimya kwasababu haiguswi, umeona wapi kiongozi kafuatwa na hiyo operation yao, mnataka kusema viongozi wote wasafi, au kuna siku mlisikia wameingia Sheraton au Hyatt Regency kwa nguvu katika chumba cha mtu kwasababu kuna mtu yupo na mke wa mtu, kwani hakuna wake au waume za watu wanaenda huko. Kama kuna kosa linafanyika au limefanyika kwa mujibu wa sheria ya nchi kuna vyombo vya sheria ndio vinatakiwa kuchukua hatua.
Siyo kazi ya magazeti kukamata wahalifu,na kama wanataka kuisaidia polisi wanachotakiwa kufanya kutoa taarifa polisi au sehemu husika na kuwaachia wahusikawafanye kazi zao.

Hicho kikundi chao hakiahitajiki kwenda na polisi pale kupiga picha na kuzitoa siku ya pili katika gazeti na maelezo kibao kabla ya mtuhumiwa kutiwa hatiani na vyombo vya sheria.
 
Yaani kumbe na wewe Mleta Mada umelipwa Mshiko na Padri aliefumaniwa ili uje uchomekee uzi kiaina.
Aisee kumbe humu JF ukijipanga kuna siku pesa itakutembelea.

Kama kunamgao wakuu tuambizane,ili tushirikiane hadi gazeti lifungwe,lakini kama hamna mshiko nakomaa hivyo hivyo.
Bora Udaku uendeleee,sio kutetea waovu nyambaffffffffff
 
Itakuchukua muda mrefu sana kujitambua..
 
Nani amewapa kazi ya kukamata wagoni na wengi wao ni feki au wanakomoana, wanapanga na wake au wachumba zao wajifanye hawana waume wakitongozwa, na wakishapanga kukutana sehemu, mwanamke anampigia jamaa yake wakachukue pesa,kwa kabla ya hayo magazeti kulikuwa hakuna wageni au malaya. Zoezi lao linaharibu fa
milia za watu.

Huu ni uhuni tu!!
 
Cha kuelewa hapa ni kwamba shigongo hakusajili magazet yake kama serious newz paper kasajili kama magazet ya udaku na inaruhisiwa kisheria ss unataka habar za umbea watu wazipate kwenye gazet la majira?
 
Habari wanaJF

Kuna hii kampuni inaitwa Global Publishers ikiwa chini ya Bw. Erick Shingongo, kiukweli sidhani kama alisajili kampuni hii kwa ajili ya kuingilia faragha za watu lakini ndiyo kazi ambayo Global Publishers wanayoifanya kwa sasa.

Hapo awali Global Publishers walikuwa wakijikita zaidi katika uandishi wa majarida na vitabu lakini naona hiyo kazi wameona haiwalipi na hivi sasa wanazunguka kwenye nyumba za kulala wageni walipoweka kambi zao ili kudakua faragha za watu wanaofika katika nyumba hizo za kulala wageni wakiwa katika starehe zao.

Sitetei uzinifu lakini faragha ya mtu iheshimiwe, na siyo kazi ya Global Publishers kuwapiga chabo na kupiga picha bila idhini ya wahusika, huu ni udhalilishaji unaofanywa ma Global Publishers.

Wizara ya habari na utamaduni wakishirikiana na Brela waimulike tena hii kampuni huenda imesahau majukumu yake au imeshindwa kujiendesha kihalali.

Kuingiza hela kupitia udhalilishwaji wa watu fulani haikubaliki.

Mkuu hili ndilo tatizo la kuhiga magazeti ya udaku ya nchi za magharibi, kwa bahati mbaya utakuta watoto wa shule wanapenda sana kusoma vijigazeti hivi ambavyo havina ethics zozote!!! Mimi nilishangaa nilipo elezwa kwamba mwenye magazeti ni PATRON wa kuelimisha vijana wasipate/ambukizwa Ugonjwa wa UKIMWI!!!

Kuhusu nyumba za kulala wageni - kinacho fanyika pale ni usanii tu i.e mbinu za kutaka kuhuza magazeti kwa wingi.
 
Faragha na wake za watu.. ??? Au waume za watu??. Hivi kama wewe ukiona wamekukamatia mgoni wako utaawachukia kweli?

Tatizo na nazani ndio lengo la hii post ni hawa wapuuzi wanakukuta wewe na mtu wako sio mke wa mtu bado wanakupiga picha na kuweka maneno yao au mwanamke kupita tu pale kona bar wakakuona we unapigwa picha we malaya us..nge
 
shigongo anapaswa kufungiwa kwa kudhalilisha watu.
 
Back
Top Bottom