Emmanuel J. Buyamba
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 1,171
- 664
Ulitaka kusema nini mkuu happy??. Ungeandika kwa kiswahili tu ungesomeka vizuri zaidi. English waachie kina John Mayor, na kina Cameron.PROFESSOR IS AN INTERNATIONAL TITLE HOW ABOUT FOOLISH ONE WHO KNOWN ONLY AT IKUNGI DISTRICT? TAKE CARE
Mwambie huyo, yaani watanzania ni wajinga dunia nzima, yaani hawajielewiHumjui Lisu pimbi wewe, Lisu ni Mnyaturu. Huna elimu, huna exposure hata nchi yako huijui alimradi upoupo tu sawa na maiti, Jews state ina raia wachache sana lakini hakuna galasa kama wewe hata mmoja ndio maana they make things happen.
Aisee, the Wish Magufuli to Fail Campaign(WMFC) has alot of followers!However that is wishful thinking,it will not succeed.It will only strengthen his resolve.Shigongo ni kama sisimizi kulinganisha na Tembo ambae ndo Lissu
kwenye uelewa wa mambo
Kaka kawatetea wazungu kivipi. Maana naona kama hujui Hoja za Lissu. Sema katetea ktk lipi mkuuYupo sawa
Lisu kaishiwa, kiki zinamharibu huyu mtu
Kashindwa kuwatetea Wananchi wake
Anawatetea Wazungu
Huyu niwakupimwa sio bure
Anajua sheria tu. Siyo mult discipline huyo. Hayupo vizuri anajifanya kujua hata kwenye matokeo ya kikemikali na kimahesabu ambako alipata ufaalu hafifu sana.Shigongo ni kama sisimizi kulinganisha na Tembo ambae ndo Lissu
kwenye uelewa wa mambo
kwa kuwa anaandika hadithi za mapenzi na uchawi kila siku?!..lisu mbona wa kawaida tu,usitishike na jazbaShigongo ni kama sisimizi kulinganisha na Tembo ambae ndo Lissu
kwenye uelewa wa mambo
tafakuri za lisu 'zinamkuna' msomali wa nzega tu na watu aina yake..shigongo anajiona anajua pale anapowaandikia wajinga wa nchi hii vijarida vyake vya kufi.rana na kujiona anasomwa na wajinga wengi...anasahau kuwa Lissu ni jabali na mwamba halisi ambae tafakuri zake hata shigongo hawezi kuzisoma....achilia mbali kuzielewa....
Lisu nae ni kama mbabaikaji asiekuwa na msimamoShigongo ni kama sisimizi kulinganisha na Tembo ambae ndo Lissu
kwenye uelewa wa mambo
....msomali wa nzega ni bora maradufu ya misukule mia moja ya ccm isiyojitambua....tafakuri za lisu 'zinamkuna' msomali wa nzega tu na watu aina yake
kwa kuwa huzungumza yakupendezayo?....msomali wa nzega ni bora maradufu ya misukule mia moja ya ccm isiyojitambua....
Hahahhahaha kma wale wasomi waliompa 88% ama kina nani???Kumuunga mkono Lissu yakupaswa usiwe na uwezo wakufikiria kichwani