Van dick
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 223
- 43
Kwakweli shigongo Ni sum Kali sans serkali inamfumbia macho.udakuspecially saws lkn c kudhalilishana hasa kwa wanawake.hatakama kibiashara zaid mungu hapend.Kama hukumsoma vzur huyu mtu waweza kusema Ni mtu saf Wa kuigwa ktk Jamii lkn Ni nyoka ajabu.Ni bepari beberu.serikali inamkwepa kwakuwa Ni mwenzao.Anajifanya Ni mjenga nch Kumbe Ni mbomoa anayeboa.Haiwezekani gazet lifichue maovu wkt vijtangazo vdogovdogo ndani yake Ni 'kuongeza maumbile ya uume,dawa za kuongeza nguvu za kiume,uganga Wa kienyeji...