Shigongo acha Udhalilishaji

Shigongo acha Udhalilishaji

Ila iko siku hao wanaojiita OFM, wataingia choo cha kike tu. Watakutana na mtu gaidi awatoe ma.v*. Uhuru wa watu unaingiliwa sana.
 
Hamjui maana ya udaku!!?? Hata first world ndo yanaongoza kusomwa hayo. Staa akinunua hata chupi atapigwa picha kuwa front page. Chezea udaku weye aha ha ha ha
 
muache tu huyu firauni ajifanye anajua, ita mcost siku
 
Back
Top Bottom