Shigella amjibu sumaye tena

marijanda

Member
Oct 27, 2010
50
4
<SOURCE> taarifa chanel ten

Asema wanamashaka na uwezo wake kuwa rais wa Tanzania 2015

mvurugano

nawasisha
 
<SOURCE> taarifa chanel ten

Asema wanamashaka na uwezo wake kuwa rais wa Tanzania 2015

mvurugano

nawasisha

Hapo kwenye red unaweza kufafanua au ndo kukuta taarifa inaishia ukitoka JF ukiwa umesoma thread ya mwisho ya Sumaye na Shigella. Sina mengi
 
Patamu hapo hata 2015 hatufiki, uvccm wanatukana wazee wao. Soon tz kama misri na tunisia. Believe me. Coz ****** yuko kwenye usingizi wa pono. Like chairman nothng action has taken as wel as the prezda. Duhhhhh
 
Hapo kwenye red unaweza kufafanua au ndo kukuta taarifa inaishia ukitoka JF ukiwa umesoma thread ya mwisho ya Sumaye na Shigella. Sina mengi
Huyu Shigela naye anajua kwamba wengi wana mashaka na uwezo wake au? UVCCM na yale yale ya Kenya ya It is Our Turn to Eat!
 
Waache wagombane wao kwa wao. Mwisho watasahau kuiba kura 2015, then CDM inachukua nchi.

SUMAYE ofcourse wote tunajua hafai kuwa Rais; lakini hata hao vijana kama kweli wanaitakia mema nchi hii, hivi ni kweli uporaji wa mashamba wa Sumaye na kukopa milioni 50 kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii, kunamfanya awe mbaya sana zaidi ya Kikwete, Lowassa na Rostam? Kweli?
 
Nimeona taarifa yake ITV, nashawishika kuamini kuwa hata katibu wa UV-CCM ana matatizo makubwa zaidi. Alivyoelezea Sumaye kunyakua mashamba inaonyesha ukomo wa uwezo wake!
 
..CCM ya miaka ya hivi karibuni 'nzuri' kweli!utashuhudia mipasho kama ya makundi ya taarabu, utashuhudia miropoko, ubabe wa kijinga, kuzushiana na kuwazushia wengine (e.g udini, ukabila n.k)..kibaya tu ni kuwa kadri wananchi 'wanavyowaendekeza' ndio kadri hiyohiyo wanavyotuharibia nchi-ufisadi,kujilimbikizia, kuchafuana n.k...it is high time we make them stop this nonsense!
 
waache walumbane na kuvurugana wakati sisi tukiendelea kupeleka elimu ya uraia kwa watz kote nchini.
 
Ndugu wakigombana, shika jembe ukalime, ndo wakati wetu huu wanamageuzi kujipanga
 
Back
Top Bottom