pocha2
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 890
- 396
1. Hawajaelewa maoni ya Kadinari yalihusu nini,
Pengo maoni yake ni juu ya katiba na hasa tamko la maaskofu kuwashurutisha waumini kupiga kura ya Hapana
Pengo hakukugusia chochote kuhusu Mahakama ya kadhi, ambayo ndo sababu ya gwajima kutoa lugha ya kejeli na matusi
2. Hawa wafuasi au watetezi wa gwajima inaonekana wana namna nyingine kudefine matusi, kwa kumuita Kadinari mpumbavu, hana akili, mjinga, au mvaa pampa si matusi
3. Hawa watu wamekuwa brain washed kiasi kwamba kila anachosema gwajima ni sawa au ni neno la Mungu
TUWAOMBEE,