bahati mbaya
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 578
- 193
Kaa nae mlizungumzie hili lasivyo mtimue nyumbani usimlee kama mtoto mdogo naona yeye kazi yake kwako nikumega baaaasi
Mh na wewe embu tukuulize kama kakipato chako ni kadogo unawezaje kuhudumia hiyo familia kwa kila kitu,,, au kaka yetu kuna mtu anamsaidia na yeye kashtukuia kaamua kuwaachia muendelee kumsaidia na yeye aendelee kula bata zake???????
Aisee kumbe kuna wanaume mashujaa kweli kweli, jamani na sisi tunaumizwa na wanawake hawasupport chochote na wanatuzidi kipato ila tunakufa kiume tu na maumivu yetu. kwahiyo likipatikana dume moja kama hilo si mbaya sana anafidia maimuvu ya wanaume tuliowengi.
Hapa ndipo ninapounaga unafki wa wanawake karibu wote, likija swala la mkwanja ndio utasikia eti mwanaume kichwa cha familia, tukitoka hapo utawasikia wanapinga mfumo dume na wanataka 50 kwa 50. huu ni ujinga, naunga mkono system ya waraabu kiasi fulani ila siungi mkono kuwakataza wanawake wasiende shule.wanawake tumeumbwa kuwawasaidizi sio vichwa vya familia
kama mtu sio kichwa inatisha
Na inakela zaidi unakuta pesa yake anakuja kununuwa kigari wakati wewe unaandamwa na madeni kila SACCOS lakini yeye hajui ili mradi watoto waende shule, yeye kazi yake kujisifu tu na kuwashauri ujinga wenzake kwamba mwanangu anasoma shule nzuri English Academia!! mwambie mumeo mumuamishe mtoto wenu shule ya serikali kule hawafundishi. Nyambafu.Lol! Yaani umenichekesha hadi nimesahau stress zangu. Hivi unajua kuwa mazahausi kama Natalia nao ni ushujaa? Unaomba hela ya saluni (ya kucha, nywele na facial), shopping zisizo na idadi, eating out, mmmh!
mwanamke kulisha familia 100% noo sio fair aisee!Hapa ndipo ninapounaga unafki wa wanawake karibu wote, likija swala la mkwanja ndio utasikia eti mwanaume kichwa cha familia, tukitoka hapo utawasikia wanapinga mfumo dume na wanataka 50 kwa 50. huu ni ujinga, naunga mkono system ya waraabu kiasi fulani ila siungi mkono kuwakataza wanawake wasiende shule.
Poleeeee! Ndo maana wenzio tunawajengea utamaduni wa kutuhudumia na kuzoea kuchunika tangu stage za awali, ukimzoesha kumuhudmia ndo inakuwa kama hivo tena majukumu yanakuzidi. Hapo tiba ni kuwaambia washauri wenu wa ndoa waongee nae ama na wewe unaanza kujiakausha!