Shida za ndoa ( maoni ya wanaume) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shida za ndoa ( maoni ya wanaume)

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by bahati mbaya, Oct 24, 2012.

 1. b

  bahati mbaya JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 23, 2012
  Messages: 543
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mimi ni mwanamke, nina miaka 36. Tumejaliwa kupata watoto 2 katika ndoa yetu. Kipato cha mme wangu ni cha kawaida maana siyo kwamba anakaa nyumbani naye ni mtafutaji. Kwa lugha nyingine yeye kajiajiri. Mimi ni mwajiriwa wa Serikali ila kipato changu ni cha hali ya chini.

  Jambo la kushangaza yeye haudumii familia kwa chakula, mavazi wala Elimu ya watoto. Pamoja na kutonunua chakula bado anapata huduma zote hapa nyumbani bila kujali nani anauhudumia familia yake. Mwanzoni mwa mahusiano yetu alikuwa walao anachangia mahitaji ya familia ingawa siyo kwa kukidhi. Miezi sita iliyopita kachukua mkopo ambao sikujua aliutumia kufanya nini maana nimegundua hivyo baada ya kufuatilia sana. Naelemewa na majukumu ya familia.

  Je wanaume wote ndivyo mnavyoishi katika familia zenu?
   
 2. YETOOO

  YETOOO Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mod hamishia huu uzi MMU sio mahala pake hapa..na mtoa mada jaribu kupitia majukwaa mbalimbali yaliyomo humu ili ujue wapi pa kupost nini.Pole ila endelea kumlea mumeo umeshamzoesha.
   
 3. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Kwanini usimkalishe mkaongea na kupangiana majukumu, mf. nani ashughulikie ada na uniform za watoto, nani ashughulike chakula?
   
 4. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Poleeeee! Ndo maana wenzio tunawajengea utamaduni wa kutuhudumia na kuzoea kuchunika tangu stage za awali, ukimzoesha kumuhudmia ndo inakuwa kama hivo tena majukumu yanakuzidi. Hapo tiba ni kuwaambia washauri wenu wa ndoa waongee nae ama na wewe unaanza kujiakausha!
   
 5. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Kaa nae mlizungumzie hili lasivyo mtimue nyumbani usimlee kama mtoto mdogo naona yeye kazi yake kwako nikumega baaaasi
   
 6. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Aisee kumbe kuna wanaume mashujaa kweli kweli, jamani na sisi tunaumizwa na wanawake hawasupport chochote na wanatuzidi kipato ila tunakufa kiume tu na maumivu yetu. kwahiyo likipatikana dume moja kama hilo si mbaya sana anafidia maimuvu ya wanaume tuliowengi.
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Pole, mwanamme kitop huyo
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Nayeye kakuona mzigo ndio maana kakata matumizi
   
 9. patricia Kichao

  patricia Kichao Member

  #9
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Je kama hataki mkae mjadiliane? utakuta mwanaume wa hv kila siku hakosi sababu! hao wanaume siku hizi ni wengi sana. pole my dia Mazoea hayo. wanaume wengi siku hizi hawana mshipa wa aibu kabisa.
   
 10. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  hapo sasa Kipipi njooo
  mtandike fimbo na unyumba usimpe
  yaani kula umlishe,watoto ulee na usiku kucha akukwide? nooo big nooo
  ngoja nimfatute@Natalia kwanza
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  wanawake tumeumbwa kuwawasaidizi sio vichwa vya familia
  kama mtu sio kichwa inatisha
   
 12. a

  anno Member

  #12
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Mh na wewe embu tukuulize kama kakipato chako ni kadogo unawezaje kuhudumia hiyo familia kwa kila kitu,,, au kaka yetu kuna mtu anamsaidia na yeye kashtukuia kaamua kuwaachia muendelee kumsaidia na yeye aendelee kula bata zake???????
   
 13. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,857
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Mwanaume daima ni kichwa cha familia. je yeye yupo upande gani? vunja ukimya zungumza na mmeo, ukiona hataki kuzungumza washirikishe washenga, mchungaji/padre/ watu wa karibu kama wazazi
   
 14. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  hili nalo neno
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Lol! Yaani umenichekesha hadi nimesahau stress zangu. Hivi unajua kuwa mazahausi kama Natalia nao ni ushujaa? Unaomba hela ya saluni (ya kucha, nywele na facial), shopping zisizo na idadi, eating out, mmmh!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Hapa ndipo ninapounaga unafki wa wanawake karibu wote, likija swala la mkwanja ndio utasikia eti mwanaume kichwa cha familia, tukitoka hapo utawasikia wanapinga mfumo dume na wanataka 50 kwa 50. huu ni ujinga, naunga mkono system ya waraabu kiasi fulani ila siungi mkono kuwakataza wanawake wasiende shule.
   
 17. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Na inakela zaidi unakuta pesa yake anakuja kununuwa kigari wakati wewe unaandamwa na madeni kila SACCOS lakini yeye hajui ili mradi watoto waende shule, yeye kazi yake kujisifu tu na kuwashauri ujinga wenzake kwamba mwanangu anasoma shule nzuri English Academia!! mwambie mumeo mumuamishe mtoto wenu shule ya serikali kule hawafundishi. Nyambafu.
   
 18. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  kha!! sasa huyo nu mume au d1ldo inayotembea?? tupa kule
   
 19. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mwanamke kulisha familia 100% noo sio fair aisee!
   
 20. Uncle john

  Uncle john Member

  #20
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 22, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inaelekea wewe umekaa kibiashara sana. Kwani haki mnazozidai sio hizo? Simtetei ila msipende kukwepa majukumu sana kama mtu wewe. Maisha ni kusaidiana na sio kuchunana. Huo sio utu!
   
Loading...