wadau nisaidie mimi natumia line ya halotel mara nyingi,sasa shida ni moja mtu yoyote wa line ya vodacom akinipigia hatusikilizani mpaka either anipigie mara mbili au tatu ama mimi nimpigie mbali na hilo upande pia wa sms mtu anaweza nitumia sms asubuhi ikaingia katika simu jioni ama mchana nakwazika sana shida yaweza kuwa nini kwa yeyote anaefahamu