Shida ya Maji jijini Tanga

Lakini sio hujuma hizo? Ccm ilikataliwa hapo,
 
Me nimekaa donge Tanga akunaga shida ya maji yakitaka katika mnatangaiwa sehemu uhusika labda kijini Sana Mzee ulipoenda
 
Yaan wale mama lishe wa stendi ya zamani ukinywa maji yao unaweza ugua tumbo la kuhara

Jaman mama lishe kuweni wastaarabu
 
Me nimekaa donge Tanga akunaga shida ya maji yakitaka katika mnatangaiwa sehemu uhusika labda kijini Sana Mzee ulipoenda
kumbe ulikaa na sasa hukai .shida ipo sasa.rudi tena uone.donge ndio maji yanatoka kimagumashi balaa.yakuunga unga sana
 
Sisi tunalia na sembe,mchele na sukari kupanda being na serikali ipo kimya tu
 
Ni kweli asemavyo mtoa Mada, Thursday last week mpaka jtatu nimeshuhudia maji yakitoka tope kabisa na some places kama vile Chai ya maziwa! Imagine wengine walikua wanayachemsha na kuyanywa licha ya kuwa na rangi ya tope! !
 
Uko wapi kwani? Njoo usipatupe nyumbani. Pahali padogo ndipo masikani ukipaacha wewe ataweza nani?
Wallah umesema maneno makali ,,,Ebwana nipo Lebanon Beirut ,,iLa inshaallah ntarud thu Home sweet home ...Nimepakumbuka Sana home area Mwang'ombe Mwakidila Maghojoni ,msige ,Jaje ,,Na kisosora ,,makorora ,,na jiji zima kiujumla ,,,[emoji26][emoji26][emoji7][emoji7]
 
Pole mimi nipo Mwangombe kwa Mbunge, unapajua? Viwanja vinaisha mwahako, mwakidila. Japan hakuna tena. Wahi Mwahako!
 
Pole mimi nipo Mwangombe kwa Mbunge, unapajua? Viwanja vinaisha mwahako, mwakidila. Japan hakuna tena. Wahi Mwahako!
hapo kwa mbunge napajua Sana Ni nyumbani. Bro ,,nawajua wazee wangu Kama Mzee molan,Mzee sebo,Mzee nyasulu,na mwenyekiti fareed ,,Mzee Mwamzola ,Mzee banyuki na wengineo ,,,hapo Mie nyumbani me Ni mjukuu wa Mzee MwaRuga aka msenegal ,,wamjua jamaa aitwa Gegedu pesa ??
 
Nawafahamu wote, nitawatafuta leo. Tunakunywa kahawa sana kijiweni hapo kwa mbunge
 
Hili litakuwa tatizo jipya binafsi moja ya vitu nilivyofurahia tanga ni MAJI yaani 24/7 yanatoka, afu mpaka uswahilini mabomba ya serikali ya mtaa yalikuwa yanatoka maji sasa kuwe na mabomba yanayotoa tope balaa hiyoo!! [emoji33][emoji33]
 
Jiji limekuwa na ongezeko kubwa la watu tofauti na miaka nyuma , halafu vyanzo vya maji vimebaki vile vile ,
Sio sababu...kuna ujinga unaotaka kuwa ugonjwa katika utendaji na usimamizi wa Tanga Water Authority
 
Namjua sana ana kigenge cha mbogamboga pale kwa Baruti kama cha Kombo! Yupo madukani kwa Jarufu! Kuna biashara gani tunaweza fanya huko Beiruti? Huko tunasikia vita, mauaji mnawezaje kuishi?
 
Namjua sana ana kigenge cha mbogamboga pale kwa Baruti kama cha Kombo! Yupo madukani kwa Jarufu! Kuna biashara gani tunaweza fanya huko Beiruti? Huko tunasikia vita, mauaji mnawezaje kuishi?
Kaka asikwambie mtu nchi ya watu ya watu ,,hasa hawa wenzetu wenye asilli ya Uarabu Ni ngumu kufanya nao kitu biashara ,,wwengi wao huku hupenda. Mambo ya kuajiri kwa mkataba,,ili akutumie atakavyo ,,sasa anajua ikiwa kibiashra utatoka mapema Sana ,,yan kwa huku ukiwa mfanya biashara mwaka wako Ni mmoja thu ,,,unakuwa boss ..lakin nafasi hizo hakuna .......me mwenyew nachanga pesa zangu nikirud nifanye biashara huko Africa inshaallah
 
Sio sababu...kuna ujinga unaotaka kuwa ugonjwa katika utendaji na usimamizi wa Tanga Water Authority
Ujinga gan huo unaosema? Tatizo la maji kutoka tope inasababishwa na shughuli za kilimo, uchimbaji madini kule kwenye chanzo cha maji ndo mto unajaa tope na huo sio mkoa wa kwanza sehemu nyingine tatizo sio kubwa kwasababu vyanzo ni visima kwahiyo hamna uchafuzi kama mito .Na kwataarifa tu Tanga Uwasa ndio mamlaka bora ya Maji Tz ina international accreditation pia. Wa Tz tusiwe na tabia ya kukosoa na kulaumu bila hata kuwa na simple research na information haijengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…