maiyanga1
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 1,376
- 1,895
Unataka kutuambia miaka yote watu walikuwa hawalimi na kuchimba madini katika chanzo cha maji? Chanzo cha maji unakijua? Kuna tatizo mahali fulani Tanga UWASA lishughulikwe.Ujinga gan huo unaosema? Tatizo la maji kutoka tope inasababishwa na shughuli za kilimo, uchimbaji madini kule kwenye chanzo cha maji ndo mto unajaa tope na huo sio mkoa wa kwanza sehemu nyingine tatizo sio kubwa kwasababu vyanzo ni visima kwahiyo hamna uchafuzi kama mito .Na kwataarifa tu Tanga Uwasa ndio mamlaka bora ya Maji Tz ina international accreditation pia. Wa Tz tusiwe na tabia ya kukosoa na kulaumu bila hata kuwa na simple research na information haijengi