chiko mkunungu
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 729
- 646
mmmh kweli
Lakini sio hujuma hizo? Ccm ilikataliwa hapo,Nimetembelea katika jiji la Tanga,nimekumbana na tatizo kubwa la maji.Katika kumbukumbu zangu jiji hili,halijawahi kuwa na tatizo la maji.Inasemekana sasa ni wiki ya pili,maji hayatoki katika mabomba ya jiji hilo.
Wakazi wa jiji hili,walisema wanatumia maji ya visima,vilivyopo kwenye misikiti ya jiji hilo,pamoja na maji mvua.
kumbe ulikaa na sasa hukai .shida ipo sasa.rudi tena uone.donge ndio maji yanatoka kimagumashi balaa.yakuunga unga sanaMe nimekaa donge Tanga akunaga shida ya maji yakitaka katika mnatangaiwa sehemu uhusika labda kijini Sana Mzee ulipoenda
Mmmh mkuu umenikumbusha nyumbaniRosmini au? Pongwe? Mikanjuni /mwahako/mwangombe karibu mwezi unaisha



Uko wapi kwani? Njoo usipatupe nyumbani. Pahali padogo ndipo masikani ukipaacha wewe ataweza nani?Mmmh mkuu umenikumbusha nyumbani![]()
Serikali ya VI-WONDER!Sisi tunalia na sembe,mchele na sukari kupanda being na serikali ipo kimya tu
Wallah umesema maneno makali ,,,Ebwana nipo Lebanon Beirut ,,iLa inshaallah ntarud thu Home sweet home ...Nimepakumbuka Sana home area Mwang'ombe Mwakidila Maghojoni ,msige ,Jaje ,,Na kisosora ,,makorora ,,na jiji zima kiujumla ,,,Uko wapi kwani? Njoo usipatupe nyumbani. Pahali padogo ndipo masikani ukipaacha wewe ataweza nani?




Pole mimi nipo Mwangombe kwa Mbunge, unapajua? Viwanja vinaisha mwahako, mwakidila. Japan hakuna tena. Wahi Mwahako!Wallah umesema maneno makali ,,,Ebwana nipo Lebanon Beirut ,,iLa inshaallah ntarud thu Home sweet home ...Nimepakumbuka Sana home area Mwang'ombe Mwakidila Maghojoni ,msige ,Jaje ,,Na kisosora ,,makorora ,,na jiji zima kiujumla ,,,![]()
hapo kwa mbunge napajua Sana Ni nyumbani. Bro ,,nawajua wazee wangu Kama Mzee molan,Mzee sebo,Mzee nyasulu,na mwenyekiti fareed ,,Mzee Mwamzola ,Mzee banyuki na wengineo ,,,hapo Mie nyumbani me Ni mjukuu wa Mzee MwaRuga aka msenegal ,,wamjua jamaa aitwa Gegedu pesa ??Pole mimi nipo Mwangombe kwa Mbunge, unapajua? Viwanja vinaisha mwahako, mwakidila. Japan hakuna tena. Wahi Mwahako!
Nawafahamu wote, nitawatafuta leo. Tunakunywa kahawa sana kijiweni hapo kwa mbungehapo kwa mbunge napajua Sana Ni nyumbani. Bro ,,nawajua wazee wangu Kama Mzee molan,Mzee sebo,Mzee nyasulu,na mwenyekiti fareed ,,Mzee Mwamzola ,Mzee banyuki na wengineo ,,,hapo Mie nyumbani me Ni mjukuu wa Mzee MwaRuga aka msenegal ,,wamjua jamaa aitwa Gegedu pesa ??


Sio sababu...kuna ujinga unaotaka kuwa ugonjwa katika utendaji na usimamizi wa Tanga Water AuthorityJiji limekuwa na ongezeko kubwa la watu tofauti na miaka nyuma , halafu vyanzo vya maji vimebaki vile vile ,
Namjua sana ana kigenge cha mbogamboga pale kwa Baruti kama cha Kombo! Yupo madukani kwa Jarufu! Kuna biashara gani tunaweza fanya huko Beiruti? Huko tunasikia vita, mauaji mnawezaje kuishi?hapo kwa mbunge napajua Sana Ni nyumbani. Bro ,,nawajua wazee wangu Kama Mzee molan,Mzee sebo,Mzee nyasulu,na mwenyekiti fareed ,,Mzee Mwamzola ,Mzee banyuki na wengineo ,,,hapo Mie nyumbani me Ni mjukuu wa Mzee MwaRuga aka msenegal ,,wamjua jamaa aitwa Gegedu pesa ??
Kaka asikwambie mtu nchi ya watu ya watu ,,hasa hawa wenzetu wenye asilli ya Uarabu Ni ngumu kufanya nao kitu biashara ,,wwengi wao huku hupenda. Mambo ya kuajiri kwa mkataba,,ili akutumie atakavyo ,,sasa anajua ikiwa kibiashra utatoka mapema Sana ,,yan kwa huku ukiwa mfanya biashara mwaka wako Ni mmoja thu ,,,unakuwa boss ..lakin nafasi hizo hakuna .......me mwenyew nachanga pesa zangu nikirud nifanye biashara huko Africa inshaallahNamjua sana ana kigenge cha mbogamboga pale kwa Baruti kama cha Kombo! Yupo madukani kwa Jarufu! Kuna biashara gani tunaweza fanya huko Beiruti? Huko tunasikia vita, mauaji mnawezaje kuishi?
Ujinga gan huo unaosema? Tatizo la maji kutoka tope inasababishwa na shughuli za kilimo, uchimbaji madini kule kwenye chanzo cha maji ndo mto unajaa tope na huo sio mkoa wa kwanza sehemu nyingine tatizo sio kubwa kwasababu vyanzo ni visima kwahiyo hamna uchafuzi kama mito .Na kwataarifa tu Tanga Uwasa ndio mamlaka bora ya Maji Tz ina international accreditation pia. Wa Tz tusiwe na tabia ya kukosoa na kulaumu bila hata kuwa na simple research na information haijengiSio sababu...kuna ujinga unaotaka kuwa ugonjwa katika utendaji na usimamizi wa Tanga Water Authority