Nipo Tanga city -chungurira, Tangazo leo walisema maji yatatota ili watu wachote , alafu yatakatika tena na baada ya siku 3 nyingine yatatoka. Ajabu mpaka muda huu hakuna kimyaMaeneo yapi? Au jiji lote? Nadhani kutakuwa na tatizo ambalo watakuwa wameshalitangaza ila ww hujasikia. Mamlaka ya maji tanga wako very smart na ndio mamlaka inayoongoza tz kwa Huduma bora
Kata ya tangasisiChungurira ni mitaa ipi? Niliishi Chumbageni
Jamani ijumaa nilikinga maji tena nikasemanikinge ya dharura maana hayaeleweki na nikakinga vyombo vyote sikupatiliza habar ya maji jana nina jirani yangu nimemsikia akikinga maji bombani kwake kata moja nipo na wewe sema niko huku mwisho wa lamiNilipo mimi maji yalikatika Tangu alhamis asubuhi mpaka leo muda huu maji hayajatoka. Nimeenda kutafuta maji mbali tena yakisima
Na mpaka muda huu maji hayajatoka bado nawaona wamama na mabinti wakipita na ndoo kwenda kutafuta maji. Mamlaka husika wasikie hiki kilio watusaidie maji ni muhimu sanaJamani ijumaa nilikinga maji tena nikasemanikinge ya dharura maana hayaeleweki na nikakinga vyombo vyote sikupatiliza habar ya maji jana nina jirani yangu nimemsikia akikinga maji bombani kwake kata moja nipo na wewe sema niko huku mwisho wa lami