lolypop
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,430
- 1,681
Yapata siku ya tatu leo bomba hazitoi maji. Tunaomba mamlaka husika watatue hili tatizo kwani dada zetu na akina mama wanapata tabu yakwenda mbali kutafuta maji.
Tukiachana na hilo wenye watoto wadogo na wanao wauguza wagonjwa majumbani ndo kabisa hawawezi ishi bila maji.
Bili za maji tunalipa kwa nini mnatutesa kwa kutukatia maji siku 3 bila huruma.
Nyie idara ya maji Tanga yafungueni hayo maji hata kwa lisaa li moja tu basi maana haya ni mateso.