Shida ya kupumua


BLUE BALAA

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Messages
912
Likes
38
Points
45

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2010
912 38 45
Nina miaka 38 na uzito wa kilo 115. kulingana na urefu wangu I am already overweight approaching obese. Pia ni mnywaji wa pombe beer, nilikuwa nakunywa whisky daktari akanikaza. Shida ninayo ipata nikinywa sana kesho yake nakuwa na shida ya pumzi nakuwa siwezi hema vizuri ila hainizuii kufanya kazi. Ikifika usiku napata shida sana wakati wa kulala kwani nashindwa hema vizuri though baadae usingizi unanichukua. Then next day nakuwa okay kabisa.

Naomba ushauri wa kitaalamu and not jokes.
 

Forum statistics

Threads 1,204,915
Members 457,584
Posts 28,175,597