Shida ya kupenda usipopendwa!

Daah. Pole yake huyo mdada. Huenda ikawa walikuwa wanapendana vizuri tu na mume wake ila mama mkwe ndio kavuruga ndoa yao.
 
Mama mkwe kamfukuza mka mwana nyumbani, mume kaungana na mama yake! Jamani kuna sababu ya mke kung'ang'ania ndoa hiyo??
Naondoka kwa raha zangu. Amuoe mama yake! Wanaume wanaofanyiwa maamuzi na mama zao ni shida!
 
Naondoka kwa raha zangu. Amuoe mama yake! Wanaume wanaofanyiwa maamuzi na mama zao ni shida!

Ni shida haswa ndiyo wa mama wa hivyo wanakuwaga wajuaji / na kimbelembele wacha waowane na mama yake kwa kweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom