Rejea mkataba Wangu na wewe,au hujui kusoma?Nipe kodi yangu nihame
Kwa hiyo kama umekuja Dar kipindi cha kiangazi ulale barabarani au guest house mpaka mvua zianze!?Chumba Cha kupangisha kitafute kipindi Cha mvua usitafute kipindi Cha kiangazi hutakiwa na taarifa za uhakika
Lipia Kodi ya kianyazi tu uliza wenyeji mvua zinaanza lini lipia kipindi tu Cha kiangaziKwa hiyo kama umekuja Dar kipindi cha kiangazi ulale barabarani au guest house mpaka mvua zianze!?
Huna macho? Jangwani hata mwenye jicho moja akiangalia anajua hapa mafuriko yapo.Shughuli zangu ziko kariakoo kwahyo nimepanga jangwani karibu na club ya yanga.
Unaweza kuta kweli ww ndo mpangishaji[emoji28][emoji28][emoji28]Umelazimishwa kukaa hapa kwangu hama mkuu
Komaa hapo hapo ndugu usev uwe na maisha mazuri.Huna huruma kabsa wewe
Jikite kwenye mada wewe mkaldayoKapenge Masaki hakuna hizo adha...
I guarantee you that..
Na wewe kitimoto ndo chakula chako cha kila siku hapo lazima uhame tu.Mim niliwahi panga nyumba fulan hapa town nikalipa kodi ya miezi 6 nikaambulia kukaa wik na kuhama tatizo anasema hakuna kupika kitimoto na lingine dirishani kwangu ndipo mkeka waekwa jion wakiwa na story zao mpka sa5 usiku
Wacha fujo ww filist....Jikite kwenye mada wewe mkaldayo
Ndo Mimi Mkuu tena huyu Mpangaji wa ni kero kwa wenzake anaomba mpaka kachumbari.Unaweza kuta kweli ww ndo mpangishaji[emoji28][emoji28][emoji28]