1gb
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 2,389
- 3,285
Nashangaa sana mtu una pesa zako unaenda kupanga maeneo yny adhaa kama vile ulipewa kuishi hapo bure.
Hyo 30 kapange mbagala kule maji hayatuami wala kuingia ndani.
Hama hapo panaponuka tope na vyura usiku kero.
Mvua ikinyesha unakuja kulialia hapa.
By the way kwani wkt unapanga ulifungwa macho ?
Kiasi cha kutokujua hapo ni bondeni..au kwako ww kutofautisha bonde na tambarare unahitajielimu ya chuo kikuu.