Shida ni nini? Mishipa ya damu inadunda sana na moyo kwenda kasi mpaka nauskia

Ni hali ya kawaida au shida ni nini? Kuna muda moyo unakwenda kasi na mishipa inadunda naiskia hadi kwenye vidole. Pia na mishipa ya kichwani naiskia inadunda mara kwa mara pasipo maumivu yoyote ya kichwa. Hii hali inanipa wasiwasi ukizingatia umri wangu hauzidi 30yrs.

Sina mazoea ya kwenda hospitalini mara kwa mara kutokana na maisha yetu tia maji tia maji. Aidha katika mazingira ya kawaida niko salama tu mimi sina neno. Nipeni miongozo nifanyeje au ni hali ya kawaida niipuzie!?
Inawezekana calcium imezidi mwilini, jaribu kupunguza matumizi yake.
 
Mkuu sio kwamba sijaenda hosp nmeenda majibu yao siyaelewi na wanaishia kunipa cyrup za kuongeza damu tu.
Yes, ndo tiba sahihi kama imetoka kwa certified medical personnel.
Feeling your own heart beat ni dalili mojawapo ya upungufu wa damu. Zingatia matibabu yako bwana, natumaini kuwa Dr. ktk management yako imegusa na kisababishi cha tatizo pia.
 
Back
Top Bottom