mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,257
- 4,468
Mada ni wasukuma au Rais na ukoo/watoto wake?Mleta mada wewe ni mpuuzi sana wakati wa Magufuli aliwajaza wasukuma kila kona na pia aliwajaza ndugu zake kwenye serikali yake acha udini na ujinga wako hapa
Kunywa maji bariidi kwanza chief ndipo uchangie mada