Shibuda si riziki CHADEMA

Status
Not open for further replies.
CDM kama m2 anayeigiza, watu weengi hujikusanya kumwangalia ila akisema wachangie hola. tuwaangalie tufurahi lkn kura no
 
Bora ccm ikaendelea kutawala lakini siyo chama cha kifamilia.

Mkuu assadsyria (pamoja na shy land) nimekuwa ninafuatalia threads zako na kugundua wewe ni mtu wa ajabu kabisa. Hivi nikisema kuwa kwa wachina wanao tuletea substandard products hapa kama damping place wana tofauti gani na wewe nitakuwa nimekukashifu au la?
Sasa basi ni hivi:
Mhs Shibuda akifukuzwa officially na CDM atakuwa amepata heshima ya juu sana. Kwa maana hiyo ni kumuacha alivyo kama si kumdharau. Anaitafuta sana hiyo heshima ya kufukuzwa wakati anasahau kuwa hiyo heshima hataipata kamwe!
 

Wewe tangu uukose udc kwa kukosa mbinu mbadala za kuwashawishi wakubwa basi umeamua kujitoa akili ili uonewe huruma.
 
Teh Teh kumbe ndio maana hawataki kuondoka kwenye hiyo ofisi kumbe ni ya baba mkwe...hahahaha.
Bavicha chaliiii
 



assadsyria3
Kweli Watanzania kweli hatujui DEMOKRASIA ya kweli ILA tunawekeana visa na hatutafutii UFUMBUZI au KUCHUNGUZA Mantiki zetu ila tu ni KUONGELEA CHUKI

Kama SHIBUDA alikuwa ana hayo MATATIZO ya UWENYEKITI wa CHAMA ni kwanini hasemi na kulalamikia CHAMA CHA UDP ambacho ni jirani huko kwake -- TOKA KIANZISHWE hadi LEO -- MWENYEKITI WAKE ni MZEE CHEYO ???

Mbona hakuna dukuduku na wasiwasi kwake na hao washabiki wanaoikichukia chama FULANI sababu ya MASLAHI YAO?

Acha ya MZEE CHEYO; EMBU ANGALIA CHAMA CHA CUF....... TOKA kianzishwe MWENYEKITI na KATIBU MKUU ni wale wale.....

Yaani PROFESSOR LIPUMBA na SEIF SHARIFF HAMAD...



Lakini wewe assadsyria3mnNi lini utaongelea yasiyo na chuki??? DEMOKRASIA sio UBABAISHAJI na KUPOTOSHA wengine wakati THE TRUTH is WRITTEN on THE WALL


FaizaFoxy and kidole007 like this







 
Kwa mtu mwenye akili timamu kabisa.... bila ushabiki wa chama, ukanda, urafiki.....Hii mada/Huu uzi una ukweli kwa 100%
 
Hahaha. Dish la Shibuda toka litikisike naona halijatengamaa. Ni mwendo wa chenga.
 
Hakuna wa kuhangaika na Mwehu, watu wako busy kufanya kazi za wananchi na kuimarisha chama.Shibuda aende TOT akachukue mikoba ya komba itamfaa sana kwa kazi yake hiyo.

Kwa mashairi na ngonjera zake anafaa kuchukua mikoba ya komba
 
tangu lini kufukuzwa kunabadilika kuwa heshima. bac cdm hakifai vi2 vingi mtamaanisha tofauti mkipewa nchi. Ikulu big no
 
Duh ni kweli ni miliki ya mtei na mbowe. sasa katiba gani mnaifuta. tena bila aibu mwanasheria kama tindu anashabikia.

Kama mlivyopitisha katiba ya kuwalinda wezi kina nyoka wa makengeza
 
Shibuda anamsubiri zzk wakasaidiane kuinusuru sacos yao act

Mkuu unafahamu kama ofisi ya chadema ni mali ya mtei ndio maana chadema hawataki kutoka pale?
 
Wafu kama hawa hawakosekani popote.chadema inazidi kupasua anga.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…