Shibuda si riziki CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Mada za kipumbav kama hizi hazitujengi ,yapo mambo ya kujadili lakini sio ujinga kama huu.Ni nani anao uhakika kama Hugo Shibuda kasema maneno kama haya?.Wezi wa ESCROW kweli wana nguvu tunasagaulishwa kila sekunde kujadili ujinga kabisa.

Hii mada ni zuri sana! sema ukweli unauma, kuona wachaga tonge linawaponyoka hivi hivi respect Zitto.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu assadsyria nimekuwa ninafuatalia threads zako na kugundua wewe ni mtu wa ajabu kabisa. Hivi nikisema kuwa kwa wachina wanao tuletea substandard products hapa kama damping place wana tofauti gani na wewe nitakuwa nimekukashifu au la?
Sasa basi ni hivi:
Mhs Shibuda akifukuzwa officially na CDM atakuwa amepata heshima ya juu sana. Kwa maana hiyo ni kumuacha alivyo kama si kumdharau. Anaitafuta sana hiyo heshima ya kufukuzwa wakati anasahau kuwa hiyo heshima hataipata kamwe!
 
Bora ccm ikaendelea kutawala lakini siyo chama cha kifamilia.
 
Hii mada ni zuri sana! sema ukweli unauma, kuona wachaga tonge linawaponyoka hivi hivi respect Zitto.


Sasa hapa ndio umeandika kitu gani!!?,maneno ya kinafik haya kwa sababu hayana ukweli wowote.
 
Last edited by a moderator:
kama chama tulioamini inatuambia tukatae katiba ya nchi wakati hata yao ya chama imewakumbatia familia fulani. HATARI.
 
Aisee watakuwa wanamsingizia shibuda, sidhani kama kayasema hayo. that passage is way too direct.

I reserve judgement in this

I totally concur with you, Hakuna cha kutuhakikishia kama Mhe Shibuda kayasema haya maneno. Lakini cha kushangaza ni kuwa kuna washabiki wa Chadema hawa tumii busara ya kufikiri kazi yao ni kuku r up ukawa tuu na kutukana. Sasa akina Shibuda na kukanusha haya maneno sijui watasemaje?
 
Wimbo huu wa ukabila ccm mmeuanza zamani ona hapa;
* Mandela aliongoza ANC tangu 1948-1996
* Fidel castro aliongoza chama toka 1930-1956
*Garmal Abdiel Nasser aliongoza chama chake 1938-1956
* Mao Tse Sung aliongoza chinese community party tangu 1911-1047
* Mahattam Karamchand( Lawyer) aliongoza chama chake tangu 1914-1947
* yowei Mseven tangu 1979-2015
Inategemea haya;
* kiongozi huyo bado anakidhi matarajio na malengo ya wanachama,
- hajavunja katiba
Mwisho Shibuda kama anataka kuwa M/ kiti chadema hawapeani madaraka et kisa wewe..,uwezo,ubunifu na utiifu ndio nguzo
Aende UDP akadai uenyekiti au Nccr Mageuzi hata kwa mtikila tu
 
Watanzania tusiache kuhudhuria mikutano ya CDM tuwaangalie wanavyotoka mapovu jukwaani ila kwenye kura waambulie 25% tu.
 
Tuendelee kuwafariji ukoo huu kwenye mikutano hdi watoe chama mikononi mwa famili, makao makuu juu hdi chini familia
 
Ccm pekee ndo chama chenye uafadhal vngne vyote n ukabila na udin kwa % kubwa sn hkn acyejua kwmb zzk n jembe n mjuz,hakurupuk hana jazba na anapma mambo na kuweka maslah ya taifa mbele ana heshma kubwa
 
hatuzungumzii mtu kuongoza kwa mda mrefu kama ulivyotoa list ya viongozi ila katiba kukiukwa eti mwenyekiti ni mmoja tu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…