Ni wazi kwamba mwandishi wa hekaya hii ni mtu asiyejua chochote katika nchi hii, wala katiba ya chama, wala mfumo na uundo wa CHADEMA. Hivi kama ni kweli akisemacho huyu mwandishi wa hekaya hizi, tujiulize wafuatao kama ni wakwe wa Mtei
1. Meshak Opulukwa Mbunge wa Meatu
2. David Silinde Mbunge wa Mbozi
3. Vincent Nyerere Mbunge wa Musoma Mjini
4. Suzan Kiwanga Mbunge vITI Maalum Morogoro
Hii ni mifano tu, ya kupanuka kwa Chama hiki kinachoingia ikulu October, Kwa takwimu za Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2014, Mkoa ulioongoza kwa Ushindi wa Vijiji, Vitongoji na Mitaa ni Kagera, hasa Jimbo la mama Escrow, Mikoa ya Shinyanga, Simiyu Mbeya na Rukwa imefanya vizuri kuliko Kilimanjaro na Arusha, kuendelea kuandika hekaya za kumtuhumu Mzee Mtei na Kaka Freeman Mbowe ni uvivu wa kufikiri, kuendelea kuwaza yaleyale ambayo yamekuwa yakisemwa na walioshindwa kuongoza nchi hii.
Ikumbukwe Zitto Kabwe wakati anakuwa Mbunge Kigoma Kaskazini, CHADEMA ilikuwa na Madiwani 8, leo anaondoka akiwa na Diwani MMOJA TU.
Nimeanza nitakuja kuendelea.
= ajili
Mchina hakulazimishi kununuwa chake. Unanunuwa wewe mwenyewe.
Wewe ni nani zaidi ya kuwa"substandard" aka punguani tu mwenginewe? Unanshangaza!
hiki chama nilikuwa nakichukia kutokana na ubaguzi wake kumbe kuna mengine maovu makubwa hongera shibuda wewe ni msema ukweli siku zote
Mfukuzeni badala ya kumtukana. Yeye hajawatukana kawapa za uso.
Nakupa hi!
btw, Mahakama ya kadhi imekuwaje? Yaonekana wewe siyo mtabiri wala mchambuzi mwenye maono. Kila wakati uko wrong!
Nani hajui kuwa ukweli UNAUMA hasa kwa watu kama wewe! Cha msingi hapa ni kwamba UJUMBE umeupata barabara!
Zitto aliwaletea barua? au aliwapa za uso kama anavyowapa Shibuda.
Sisi tunakueleza ukweli ambao huwezi kuupina hata chembe. Kuna Mchina alikulazimisha kununuwa bidhaa yake? Unanunuwa mwenyewe, kama unaenda au unaagiza hiyo kazi kwako. Yeyey kapowa burdaan, quality utachaguwa wewe si yeye.
Nyie ndiyo wale mnaotaka biriani kwa bei ya maharage.
......Nina kaka angu anaitwa Allan, natamani nimwambie abadilishe jina maana asije akawa kama baba ako akiwa mtu mzima kisha akazaa mtoto kama wewe!!.BAVICHA karibuni muonyeshe umahiri wenu wa kutukana.
Mimi si mtabiri.
Team ya majizi ccm kazini
Mfukuzeni badala ya kumtukana. Yeye hajawatukana kawapa za uso.
Sasa zingine kikitulia unakuwa fresh kikitibuka unajitoa ufahamu maombi yanakuhusu.
BAVICHA karibuni muonyeshe umahiri wenu wa kutukana.
Ndo mkome kuchukua makapi ya Ccm ona sasa
Chadema ni Saccos ya Mtei inayosimamiwa na mkwe wake Mbowe pamoja na mjomba wake Lema
na kweli hii mada tuwaachie wavinjari kwa matusi
Mfukuzeni badala ya kumtukana. Yeye hajawatukana kawapa za uso.
Kuna uharamia zaidi ya unaofanyika Ufipa?
Nasikia kodi anayolipwa Mtei kwenye ile nyumba ni kubwa kuliko kukodisha ghorofa 5.
Hapo sasa.