TGInnocent
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 1,088
- 583
Nikukumbushe
mtajua muda umeenda chama gani cha kifamilia mtu akitaka kugombea kwa kufata taratibu anafukuzwa hamtatawala milele kabisa
kidumu chama cha mapinduzi chenye usawa na haki kuliko hiki saccos
Dawa sio kuondoka, ni kuweka wazi ujanja unaofanywa na hawa wala ruzuku huku wakihukumu wenzao ili watanzania wajue.Kweli siasa ni mchezo mchafu.Shibuda km kweli amesema hayo Maneno Mimi nitamuita ni Mpumbavu. Hivi niwaulize nyinyi Mambumbu wa CCM na Act , Mtu akienda kwa Jirani akakuta vitu visivyo faa atasubiri kufukuzwa au ataondoka mwenyewe?. Mi Naona Shibuda ni punguani ndio maana ana ngangania pale. Km hapafai Aondoke.
Thubutu, wamfukuze waone atakavyoweka mambo hadharani.Wanafikiri kila mtu ni wa kuonea,kuna wengine ukimwaga mboga wanamwaga ugali.ChChadema haina haja ya kumfukuza huyu mchumia tumbo mgonjwa wa akili kwani tayari hajulikani kama mbunge wa Chadema kwa ufupi Chadema haioni kamaa kuna mtu aitwae Shibuda.
Thanks Shibuda.
Hiko ni chama cha ukanda udini na ukabila.
Tena ya kuweka tu,lakini wakopaji ni wengine.Loh! Kumbe hiki chama ni sacoss????
Acha kutuletea mifano mfu hapa.CHADEMA ni Saccoss.Shibuda km kweli amesema hayo Maneno Mimi nitamuita ni Mpumbavu. Hivi niwaulize nyinyi Mambumbu wa CCM na Act , Mtu akienda kwa Jirani akakuta vitu visivyo faa atasubiri kufukuzwa au ataondoka mwenyewe?. Mi Naona Shibuda ni punguani ndio maana ana ngangania pale. Km hapafai Aondoke.
Umeona eeh, ndio sababu wamepenyeza rupia ili Chadema imtimue Zitto.Ili wazidi kutamba.Mada za kipumbav kama hizi hazitujengi ,yapo mambo ya kujadili lakini sio ujinga kama huu.Ni nani anao uhakika kama Hugo Shibuda kasema maneno kama haya?.Wezi wa ESCROW kweli wana nguvu tunasagaulishwa kila sekunde kujadili ujinga kabisa.
Acha uvivu wa kufikiri Shibuda ana nini yule lol wewe hata hufahamu sijui watokea kijiji gani Bongo pole sana ati mambo hadharani ni wangapi washasema hivyo na hawajafanya lolote.Zaidi ya ubunge alikuwa nani Chadema hata amwage mambo hazarani huyo Zitto mwenyewe kafukuziwa mbali haya sasa amwage habari hazarani.Chademakila leo kina style mupya hata huyo Zitto kwa sasa hajui kitu.Nikupe akiba ya maneno unaisikia au kuifahamu M4C ilijengwa bila ya Zitto wala Shibuda na iko ngangari kupita maelezo hadi Maccm yanajijambia kila uchao kwa mziki wa M4C.Thubutu, wamfukuze waone atakavyoweka mambo hadharani.Wanafikiri kila mtu ni wa kuonea,kuna wengine ukimwaga mboga wanamwaga ugali.
Chadema ni Saccos ya Mtei inayosimamiwa na mkwe wake Mbowe pamoja na mjomba wake Lema