mkuu hunatarifa za kutosha ndiyo maana nawambia zitto anawazidi sana akili zitto wala hayupo nigeria mimi juzi nimemuona kwa macho yangu mkoani simiyu jioni ya moja msikitini hapa bariadi akitoka kuswali halafu wewe unaongea habari za nigeria.
Mkuu hunatarifa za kutosha ndiyo maana nawambia zitto anawazidi sana akili zitto wala hayupo nigeria mimi juzi nimemuona kwa macho yangu mkoani simiyu jioni ya moja msikitini hapa bariadi akitoka kuswali halafu wewe unaongea habari za nigeria.

Kwani shibuda ni muislam?
Akizungumzia fukuzafukuza ndani ya cdm Mh. Shibuda yeye amedai hawazi kuondoka cdm wala kufukuzwa hivo yeye ni kama NYAMBIZI ndani ya Chadema.
Inafahamika kuwa mienendo ya mbunge huyu wa Maswa kufanya mambo yasiyoeleweka ndani na nje ya chama ila bado hajapewa adhabu yoyote hivo kujiona sasa yeye ni Nyambizi.
Mimi najiuliza huyu bwana ni nini kimemsalimisha Shibuda kutimuliwa? Huyu bwana anataka aibue kamgogoro ili atimkie ACT.
Pole Zitto ugua pole huko ulikolazwa Nigeria.
Mkuu hunatarifa za kutosha ndiyo maana nawambia zitto anawazidi sana akili zitto wala hayupo nigeria mimi juzi nimemuona kwa macho yangu mkoani simiyu jioni ya moja msikitini hapa bariadi akitoka kuswali halafu wewe unaongea habari za nigeria.
Shibuda ni mwanaume wa uhakika haogopi hao mapimbi wenzake.
Kaenda nigeria kutafuta nini?, wakati kijana wa mtemi mazengo nipo na ninakilinda chama changu chadema kwa nguvu zangu zote ikibidi hata nife tu!.
Zit.to anajidanganya muda si mrefu atakufa tu!
'namwombea laana kwa allah kila siku'